CCM yavunja rekodi Mkutano wa kufunga Kampeni Migoli Isimani

Namtaka huyo Green Guard wa kike mwenye kijungu.
Nampataje Dalali ?
 
Yaan Ningumu San watanzania kujitambua
 
Tanzanians loves CCM than any political party within the country.

Kila la kheri mgombea ubunge wa CCM Emmanuela,

Nakutakia ushindi wa kishindo kikuu πŸ‘ŠπŸ‘Š
Kwani anashindana na nani?!!!
 
Tutafika tuu kwenye vyama vingi halisi!
na kiporo cha wali maharagwe kilivyo kitamu ukishushia na maziwa fresh ni balaaa aise,

Yaani ukipiga hivyo asubuhi unajikuta tu unashinda uchaguzi mkuu kwa kishindo πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…