kupelwa
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 1,090
- 454
Kuunga mkono ni kwa muda maalumu?ikifika krismas,juhudi za kumuunga rais zinakwisha?ni lini tena mtaanza kupokea wanaounga mkono rais na kuwa chaguzi ndogo za kuungwa mkono?Nawashangaa sana naona leo wameamua kuja na nyuzi za Membe kumhujumu JPM, badala yake wangetumia muda huu kujadili ni wapi wao binafsi wameteleza hadi kukimbiwa na wabunge wao wanabaki kuwafitini wana CCM nawapa pole maana 2020 CCM itaendelea kushika dola na kwa kura nyingi zaidi...
Leo mnakazania chaguzi ndogo na kuunga mkono kisa demokrasia,Msd hamlipi madeni na kunyimwa kukoa tena hizo juhudi kwann msilioe maseni?
Mnapongezajeshi kununua korosho leo mwezi watu hawaipwi kisa kuhakiki waliuza ndo waliolima ,miaka ya nyuma ,haya hayakuwepo?