Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

Kuunga mkono ni kwa muda maalumu?ikifika krismas,juhudi za kumuunga rais zinakwisha?ni lini tena mtaanza kupokea wanaounga mkono rais na kuwa chaguzi ndogo za kuungwa mkono?
Leo mnakazania chaguzi ndogo na kuunga mkono kisa demokrasia,Msd hamlipi madeni na kunyimwa kukoa tena hizo juhudi kwann msilioe maseni?
Mnapongezajeshi kununua korosho leo mwezi watu hawaipwi kisa kuhakiki waliuza ndo waliolima ,miaka ya nyuma ,haya hayakuwepo?
 
Hata mwanzoni mlikuwa mnasema ni uzushi ila juzi Bashiru kathibitisha kuwa huko CCM kuna fukuto la Membe kutaka kugombe uraisi 2020.

Kule sasa sio fukuto tena bali ni JOTO; kwani sasa hivi hata hao mawaziri wake hawaruhusiwi kufanya ziara mikoani bila kuomba ruhusa; yote hayo yakiwa ni kuthibiti kuwa wanaweza kufanya kampeni za kumuangusha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…