Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 1, 2024 Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla ametangaza uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwafuta uongozi wanachama wawili wa chama hicho.
Kamati kuu ya CCM imewaondoa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Lindi, Palina Ninje pamoja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bagamoyo, Abdul Zahoro kutokana na kukiuka misingi na maadili ya uongozi.
Aidha Kamati kuu maalum ya Chama cha Mapinduzi, chini ya mwenyekiti Rais Samia Suluhu imekutana Septemba 1, 2025 jijini Dar e Salaam.