Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,588
- 956
===
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05|02|2022 amezindua rasmi mfumo mpya wa kadi za kielekitroniki,
Baada ya " CHADEMA Digital " kukwama hasa kwa kukosa wanachama huenda Watanzania wengi waliisubiri hii " CCM Digital Cards " yaani " CDC "
Mtakumbuka hata kabla Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) kimekuwa kikiendelea na usajili wa wanachama wake kwa njia hii ya kielekitroniki wakati kikisubiri Uzinduzi huu rasmi,
HONGERA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ||