CCM yazindua CCM Digital cards-CDC

CCM yazindua CCM Digital cards-CDC

Iyo kadi ya akina dabaya, makonda na JPM imejaa damu za watu akina azory gwanda, kangoye, saa8 waliouwawa chini ya baraka ya jambazi JPM mliofuraia walipochinjwa na miili yao kutoswa baharini na kisha kuokotwa koko beach.
Nasubiri kadi yangu kwa hamu Sana
....

CCM chama kubwa

#kaziiendelee
 
Iyo kadi ya akina dabaya, makonda na JPM imejaa damu za watu akina azory gwanda, kangoye, saa8 waliouwawa chini ya baraka ya jambazi JPM mliofuraia walipochinjwa na miili yao kutoswa baharini na kisha kuokotwa koko beach.
Unao ushahidi mkuu?
 
===
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05|02|2022 amezindua mfumo mpya wa kadi za kielekroniki,

Baada ya " CHADEMA Digital " kukwama hasa kwa kukosa wanachama huenda Watanzania wengi waliisubiri hii " CCM Digital Cards yaani " CDC ".

HONGERA SANA CCM-TANZANIA
HONGERA RAIS SAMIA SULUHU
Kudandia treni kwa mbele na pia kwa kwenda mbele. Badala ya kujikita katika kutekeleza ahadi zilizopo katika ilani ya chama, imebakia ni kuigaiga tu.

Ndiyo maana watu wenye ufahamu mzuri siku zote huamini akili ndogo ndizo huongoza akili kubwa hapa nchini. CCM imebakia kuwa kichaka cha kujitafutia umaarufu kinyemela.

Badala ya kuja na mambo makubwa, kuntu na yenye kufikirisha akili, wao kazi yao siku zote ni kudesa tu nondo za wenzao na kujifanya kuwa wao ndio wabunifu na wamiliki halali.
 
CCM imeanza digital campeigh kitambo sana mkuu
 
sava sava dugu, je mheshimiwa ulitaka wasije na kad za electoenic ilihali umimwengu mzima sasa upo kiganjan, unasahau kuw chama kina mashikamano na chamaadhubt CCP ambacho kina teknlojia ya juu. vip leo digital card iwe kuiga?
si ni sekunde tu kila shina litakua na odad ya wanachama hai zaid ya milion 100
 
Chadema wamepanic sana huu uzinduzi,
 
===
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05|02|2022 amezindua mfumo mpya wa kadi za kielektroniki,

Baada ya " CHADEMA Digital " kukwama hasa kwa kukosa wanachama huenda Watanzania wengi waliisubiri hii " CCM Digital Cards " yaani " CDC ".

HONGERA SANA CCM-TANZANIA
HONGERA RAIS SAMIA SULUHU

Huu Mfumo unazinduliwa kila siku
 
CCM walianza mchakato wa kupata kadi za kielektroniki kabla ya chama chochote cha siasa hapa nchini
 
Back
Top Bottom