CCM yazindua CCM Digital cards-CDC

Mwanahabari wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
1,588
Reaction score
956

===
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05|02|2022 amezindua rasmi mfumo mpya wa kadi za kielekitroniki,

Baada ya " CHADEMA Digital " kukwama hasa kwa kukosa wanachama huenda Watanzania wengi waliisubiri hii " CCM Digital Cards " yaani " CDC "

Mtakumbuka hata kabla Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) kimekuwa kikiendelea na usajili wa wanachama wake kwa njia hii ya kielekitroniki wakati kikisubiri Uzinduzi huu rasmi,

||HONGERA SANA KWA CCM-TANZANIA
HONGERA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ||
 
Nani hapo kamuiga mwenzake? Tuanzie hapo
 
Kweli CCM ni chama cha wazee, sasa hivi ndio mmejua mambo ya digital cards!? Mkiambiwa mko madarakani kwa mabavu inabidi muelewe maana hamna ubunifu kabisa.

Kagaweni hizo cards kwenye kambi za jeshi na makazi mengine ya vyombo vya dola, maana CCM sio chama cha siasa, bali kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa.
 
Mbona imefanyika tokea mwaka jana nchi nzima kilichobaki ni kugawa hizo kazi tu
 
Chama cha watu makini kwelikweli,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…