CCM yazindua CCM Digital cards-CDC

Iyo kadi ya akina dabaya, makonda na JPM imejaa damu za watu akina azory gwanda, kangoye, saa8 waliouwawa chini ya baraka ya jambazi JPM mliofuraia walipochinjwa na miili yao kutoswa baharini na kisha kuokotwa koko beach.
Nasubiri kadi yangu kwa hamu Sana
....

CCM chama kubwa

#kaziiendelee
 
Iyo kadi ya akina dabaya, makonda na JPM imejaa damu za watu akina azory gwanda, kangoye, saa8 waliouwawa chini ya baraka ya jambazi JPM mliofuraia walipochinjwa na miili yao kutoswa baharini na kisha kuokotwa koko beach.
Unao ushahidi mkuu?
 
Kudandia treni kwa mbele na pia kwa kwenda mbele. Badala ya kujikita katika kutekeleza ahadi zilizopo katika ilani ya chama, imebakia ni kuigaiga tu.

Ndiyo maana watu wenye ufahamu mzuri siku zote huamini akili ndogo ndizo huongoza akili kubwa hapa nchini. CCM imebakia kuwa kichaka cha kujitafutia umaarufu kinyemela.

Badala ya kuja na mambo makubwa, kuntu na yenye kufikirisha akili, wao kazi yao siku zote ni kudesa tu nondo za wenzao na kujifanya kuwa wao ndio wabunifu na wamiliki halali.
 
CCM imeanza digital campeigh kitambo sana mkuu
 
sava sava dugu, je mheshimiwa ulitaka wasije na kad za electoenic ilihali umimwengu mzima sasa upo kiganjan, unasahau kuw chama kina mashikamano na chamaadhubt CCP ambacho kina teknlojia ya juu. vip leo digital card iwe kuiga?
si ni sekunde tu kila shina litakua na odad ya wanachama hai zaid ya milion 100
 
Chadema wamepanic sana huu uzinduzi,
 

Huu Mfumo unazinduliwa kila siku
 
CCM walianza mchakato wa kupata kadi za kielektroniki kabla ya chama chochote cha siasa hapa nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…