CCM yazindua CCM Digital cards-CDC

Huyo alietengeneza hiyo kadi keenye picha angeondoa hiyo white background ingependeza zaidi
 
Pia waweke kulipia ada za uanachama kidigitali, yaan tulipie kwa M-pesa, Tigopesa, Airtelmoney etc

Watakusanya hela nzuri na control itakuwa kubwa + Database ya wanachama wote
 
Asante CCM ya Mama,

Tanzania chama ni kimoja tu nacho ni CCM,
 
Wale wengine wameishia lock up na kwenda kuripoti kwa kituo kila ijumaa.
 
Iyo kadi ya akina dabaya, makonda na JPM imejaa damu za watu akina azory gwanda, kangoye, saa8 waliouwawa chini ya baraka ya jambazi JPM mliofuraia walipochinjwa na miili yao kutoswa baharini na kisha kuokotwa koko beach.
Khaaa, Full Uchochezi
 
Maafisa Elimu watazigawa kwa Walimu tena kwa kuwalazimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…