Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Jana ilikuwa uzinduzi wa kampeni za CCM sehemu mbalimbali na kwa maajabu makuu hoja kuu yao ni kumzungumzia Mbowe na Lissu kama sera yao.
Wameamua kumuibua hadi yule mpiga kelele wa goli la mkono toka makaburini kuja kuwatia nguvu wakati Makonda juzi kwenye mkutano wake kadhibitisha kuwa wale aliowataja kumtukana bosi wao mitandaoni ndio hao mawaziri waliofukuzwa. Ni jambo la D mbili tuu kuling'amua.
Badala y CCM kutumia nafasi hii kuwajulisha wananchi itafanya nini kuwadhibiti wenyeviti wa mitaa na vijiji ambao walikuwa wamebobea kwenye Rushwa na ubadhilifu wa wanazungumzia watu na chama kisicho madarakani bila kujua kuwa wanaeafanyia promotion.
Soma Pia: Amos Makalla: CHADEMA imegawanyika, kuna upande wa Lissu na upande wa Mbowe
Wamewaengua wagombea wa vyama vingine kwa wingiili wapite, wakisahau kuwa sasa kuna utaratibu wa kura za HAPANA pia hivyo chaguzi nyingi zinaweza kutangazwa upya maana wanaweza wapinzani wao na hata wanaccm wanaojitambua na hawataki viongozi wabovu wakawaangusha kwa Hapana na kulinda kura hizo za maruhani.
CCM hakika imechoka, hadi Makalla
Anakosa hoja za uhakika?