Jana ilikuwa uzinduzi wa kampeni za CCM sehemu mbalimbali na kwa maajabu makuu hoja kuu yao ni kumzungumzia Mbowe na Lissu kama sera yao.
Wameamua kumuibua hadi yule mpiga kelele wa goli la mkono toka makaburini kuja kuwatia nguvu wakati Makonda juzi kwenye mkutano wake kadhibitisha kuwa wale aliowataja kumtukana bosi wao mitandaoni ndio hao mawaziri waliofukuzwa. Ni jambo la D mbili tuu kuling'amua.
Badala y CCM kutumia nafasi hii kuwajulisha wananchi itafanya nini kuwadhibiti wenyeviti wa mitaa na vijiji ambao walikuwa wamebobea kwenye Rushwa na ubadhilifu wa wanazungumzia watu na chama kisicho madarakani bila kujua kuwa wanaeafanyia promotion.
Wamewaengua wagombea wa vyama vingine kwa wingiili wapite, wakisahau kuwa sasa kuna utaratibu wa kura za HAPANA pia hivyo chaguzi nyingi zinaweza kutangazwa upya maana wanaweza wapinzani wao na hata wanaccm wanaojitambua na hawataki viongozi wabovu wakawaangusha kwa Hapana na kulinda kura hizo za maruhani.
Kama tulivyotarajia tangu mwanzo, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeishiwa kabisa mipango baada ya kuwadanganya Wananchi kwa zaidi ya miaka 60.
Uthibitisho wa poromoko hili la Chama hicho kilicholeta kila aina ya dhiki, Laana na Mikosi Nchini Tanzania umepatikana jana kwenye mikutano yake ya uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa wenyeviti wa Serikali za mitaa
Viongozi wote wa ccm waliopanda majukwaani kote Tanzania wametumia muda wote wa hotuba zao kuinadi Chadema badala ya Kutueleza namna ya kutatua shida za Wananchi, Ikiwemo kujenga vyoo kwenye Ofisi za Serikali Nchi nzima ili watendaji wasijisaidie vichakani.
Nachukua Nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwezesha kifo rahisi sana na cha kibwege mno cha ccm , Chama ambacho wote wanaokiunga Mkono hawatauona Ufalme wa Mungu.

yaani kuishabikia chadema ni sawa na kichaa asiye na akili sasa chama kina migogoro ajabu na bado mtu na akili zako ukaishabike ili upate nini sasa subirini muone mnavyoachwa kama yatima wenzu wanagawanyika

maendeleo yaliyopatikana ndani ya muda mfupi ambao ccm wako pekeyao madarakani ni makubwa mnoooooooo wapinzani wanachelewesha maendeleo imethibitika hivyo hatufanyi makosa tena kuwapa hata cheo kimoja upinzani