Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Wana Jf, salaam!
Nianze kwa kukipongeza CCM kwa upendo wake kwa Watanzania lakini pia nikipongeze CDM kwa namna inavyokubali kazi inayofanywa na CCM.
Wengi wetu kipaumbele ni Serikali kuongeza kasi ya kutekeleza miradi ya maendeleo nchini. Suala la Katiba mpya lifuate hapo mbeleni hasa miaka ya 2035 - 2040. CDM wajue kuwa Watanzania hawali katiba, hula maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
Msakila Kabende
Kakonko.