Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Sasa katiba inakughalimu nini we kiazi. Toka lini CCM ikawa na upendo na wananchi, CCM inaupendo na viongozi. In fact katiba na mapenzi sie tuna taka katiba mpya.WanaJf,
Salaam!
Nianze kwa kukipongeza CCM kwa upendo wake kwa watanzania. Lkn pia nikipongeze CDM kwa namna inavyokubali kazi inayofanywa na CCM...
Watanzania wangapi wawekwe kwenye mkeka - kila ukiteteapo CDM, ACT, CUF, NCCR, UDP zako unatokea mkekani?Afu kwenye mkeka wa leo haupo. Kazi ipo endelea kujipambania
Mkeka wa maDC ndo ushapita Mkuu! umechelewa wapi?WanaJf,
Salaam!
Nianze kwa kukipongeza CCM kwa upendo wake kwa watanzania. Lkn pia nikipongeze CDM kwa namna inavyokubali kazi inayofanywa na CCM...
Umelewa "milkshake" weweWanaJf,
Salaam!
Nianze kwa kukipongeza CCM kwa upendo wake kwa watanzania. Lkn pia nikipongeze CDM kwa namna inavyokubali kazi inayofanywa na CCM...
Kwani hao watanzania wanakula reli na madarasa?WanaJf,
Salaam!
Nianze kwa kukipongeza CCM kwa upendo wake kwa watanzania. Lkn pia nikipongeze CDM kwa namna inavyokubali kazi inayofanywa na CCM...
Leo umesahau kuweka namba ya simu mbona?Wana Jf, salaam!
Nianze kwa kukipongeza CCM kwa upendo wake kwa Watanzania lakini pia nikipongeze CDM kwa namna inavyokubali kazi inayofanywa na CCM...