CCM yote imejitenga na Samuya. Kabaki yeye na kikosi cha watekaji/wahuni tu.

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Hakuna matamko wala maandamano ya kuunga mkono hotuba za rais wala kazi za rais. CCM wote wapo kimyaaaaa! Na wengine wameanzisha kampeni ya kuchoma kofia, baiskeli na t-shirts za ccm.

Hata ndani ya serikali haramu aliyoiunda, ni mkwewe, Kabudi, Kombo (yule wa mambo ya nje) na Mwigulu tu ndiyo wanaonekana kumpigania Samuya.

Mawaziri waliobaki wameficha mbawa zao wakihofia kuiharibu kesho yao kwa kuungana na udhalimu wa sasa.

Jumuiya zote za ccm kimyaaaa!! Utadhani zimezuiwa na mahakama kufanya kazi zao.

Samuya hata afenyeje, awamu hii amelikoroga na atalinywa.

N.B: Tukutane D25 ambapo varangati litaanza usiku wa mkesha D24.
 
Idadi ndogo ya wapiga juzi imewatisha sana ccm. Maana ukweli umedhihirika kuwa wapiga kura wengi huwa ni wa upinzani hasa cdm, ndio maana kitendo cha cdm kugomea huo uchaguzi wa kihuni, voters turn out ikawa ndogo ajabu. Na ile idadi ndogo ndio huwa kura za ccm, kisha wanaiba za wapinzani.

Kwa sasa hata pesa ya kufadhili hayo maandamano ya kuunga mkono usanii wa ccm haipo, maana huwa zile mbwembwe za kuunga mkono hizo shobo hufanyika kwa watu kulipwa.
 
Hakuna matamko wala maandamano ya kuunga mkono hotuba za rais wala kazi za rais. CCM wote wapo kimyaaaaa! Na wengine wameanzisha kampeni ya kuchoma kofia, baiskeli na t-shirts za ccm.

Hata ndani ya serikali haramu aliyoiunda, ni mkwewe, Kabudi, Kombo (yule wa mambo ya nje) na Mwigulu tu ndiyo wanaonekana kumpigania Samuya.

Mawaziri waliobaki wameficha mbawa zao wakihofia kuiharibu kesho yao kwa kuungana na udhalimu wa sasa.

Jumuiya zote za ccm kimyaaaa!! Utadhani zimezuiwa na mahakama kufanya kazi zao.

Samuya hata afenyeje, awamu hii amelikoroga na atalinywa.

N.B: Tukutane D25 ambapo varangati litaanza usiku wa mkesha D24.
serikali sikivu ya CCM chini ya kipenzi cha waTanzania iko kazini kuwatumikia waTanazania na kuwaletea maendeleo, na kabisa haina muda wala haja ya kubabaika na mtu wala porojo za patapotea hususani za mamluki wa mabwenyenye ya magharibi:BillyApprove:
 
tumia njia sahihi kumpinga kwa hoja ukiingia barabarani ni shaba tu na utawaachia shida nduguzo
 
Wapo kina Chalamila na Mkumbo ambao bado hawajausoma mchezo.
Chalamila anaendeleza ukasuku tu huku jiji likiwa halina maji. He has ABSOLUTELY 💯 no idea on how to bring water to the city.
 
Hakuna matamko wala maandamano ya kuunga mkono hotuba za rais wala kazi za rais. CCM wote wapo kimyaaaaa! Na wengine wameanzisha kampeni ya kuchoma kofia, baiskeli na t-shirts za ccm.

Hata ndani ya serikali haramu aliyoiunda, ni mkwewe, Kabudi, Kombo (yule wa mambo ya nje) na Mwigulu tu ndiyo wanaonekana kumpigania Samuya.

Mawaziri waliobaki wameficha mbawa zao wakihofia kuiharibu kesho yao kwa kuungana na udhalimu wa sasa.

Jumuiya zote za ccm kimyaaaa!! Utadhani zimezuiwa na mahakama kufanya kazi zao.

Samuya hata afenyeje, awamu hii amelikoroga na atalinywa.

N.B: Tukutane D25 ambapo varangati litaanza usiku wa mkesha D24.
Wanaogopq kutengwa na wananchi maana siku hizi wananchi ndio wana nguvu
 
serikali sikivu ya CCM chini ya kipenzi cha waTanzania iko kazini kuwatumikia waTanazania na kuwaletea maendeleo, na kabisa haina muda wala haja ya kubabaika na mtu wala porojo za patapotea hususani za mamluki wa mabwenyenye ya magharibi:BillyApprove:
Sasa yule mzee Malisa pia mnafanyia yale mambo yenu? ukatili wa kiasigani?
 
Back
Top Bottom