Idadi ndogo ya wapiga juzi imewatisha sana ccm. Maana ukweli umedhihirika kuwa wapiga kura wengi huwa ni wa upinzani hasa cdm, ndio maana kitendo cha cdm kugomea huo uchaguzi wa kihuni, voters turn out ikawa ndogo ajabu. Na ile idadi ndogo ndio huwa kura za ccm, kisha wanaiba za wapinzani.Hakuna matamko wala maandamano ya kuunga mkono hotuba za rais wala kazi za rais. CCM wote wapo kimyaaaaa! Na wengine wameanzisha kampeni ya kuchoma kofia, baiskeli na t-shirts za ccm.
Hata ndani ya serikali haramu aliyoiunda, ni mkwewe, Kabudi, Kombo (yule wa mambo ya nje) na Mwigulu tu ndiyo wanaonekana kumpigania Samuya.
Mawaziri waliobaki wameficha mbawa zao wakihofia kuiharibu kesho yao kwa kuungana na udhalimu wa sasa.
Jumuiya zote za ccm kimyaaaa!! Utadhani zimezuiwa na mahakama kufanya kazi zao.
Samuya hata afenyeje, awamu hii amelikoroga na atalinywa.
N.B: Tukutane D25 ambapo varangati litaanza usiku wa mkesha D24.
serikali sikivu ya CCM chini ya kipenzi cha waTanzania iko kazini kuwatumikia waTanazania na kuwaletea maendeleo, na kabisa haina muda wala haja ya kubabaika na mtu wala porojo za patapotea hususani za mamluki wa mabwenyenye ya magharibiHakuna matamko wala maandamano ya kuunga mkono hotuba za rais wala kazi za rais. CCM wote wapo kimyaaaaa! Na wengine wameanzisha kampeni ya kuchoma kofia, baiskeli na t-shirts za ccm.
Hata ndani ya serikali haramu aliyoiunda, ni mkwewe, Kabudi, Kombo (yule wa mambo ya nje) na Mwigulu tu ndiyo wanaonekana kumpigania Samuya.
Mawaziri waliobaki wameficha mbawa zao wakihofia kuiharibu kesho yao kwa kuungana na udhalimu wa sasa.
Jumuiya zote za ccm kimyaaaa!! Utadhani zimezuiwa na mahakama kufanya kazi zao.
Samuya hata afenyeje, awamu hii amelikoroga na atalinywa.
N.B: Tukutane D25 ambapo varangati litaanza usiku wa mkesha D24.
tumia njia sahihi kumpinga kwa hoja ukiingia barabarani ni shaba tu na utawaachia shida nduguzoHakuna matamko wala maandamano ya kuunga mkono hotuba za rais wala kazi za rais. CCM wote wapo kimyaaaaa! Na wengine wameanzisha kampeni ya kuchoma kofia, baiskeli na t-shirts za ccm.
Hata ndani ya serikali haramu aliyoiunda, ni mkwewe, Kabudi, Kombo (yule wa mambo ya nje) na Mwigulu tu ndiyo wanaonekana kumpigania Samuya.
Mawaziri waliobaki wameficha mbawa zao wakihofia kuiharibu kesho yao kwa kuungana na udhalimu wa sasa.
Jumuiya zote za ccm kimyaaaa!! Utadhani zimezuiwa na mahakama kufanya kazi zao.
Samuya hata afenyeje, awamu hii amelikoroga na atalinywa.
N.B: Tukutane D25 ambapo varangati litaanza usiku wa mkesha D24.
Usiongee tena kuna doria ya mtandaoniMaandamano ua D25 hayana location..popote ulipo lianzishe!
Wanaogopq kutengwa na wananchi maana siku hizi wananchi ndio wana nguvuHakuna matamko wala maandamano ya kuunga mkono hotuba za rais wala kazi za rais. CCM wote wapo kimyaaaaa! Na wengine wameanzisha kampeni ya kuchoma kofia, baiskeli na t-shirts za ccm.
Hata ndani ya serikali haramu aliyoiunda, ni mkwewe, Kabudi, Kombo (yule wa mambo ya nje) na Mwigulu tu ndiyo wanaonekana kumpigania Samuya.
Mawaziri waliobaki wameficha mbawa zao wakihofia kuiharibu kesho yao kwa kuungana na udhalimu wa sasa.
Jumuiya zote za ccm kimyaaaa!! Utadhani zimezuiwa na mahakama kufanya kazi zao.
Samuya hata afenyeje, awamu hii amelikoroga na atalinywa.
N.B: Tukutane D25 ambapo varangati litaanza usiku wa mkesha D24.
Sasa yule mzee Malisa pia mnafanyia yale mambo yenu? ukatili wa kiasigani?serikali sikivu ya CCM chini ya kipenzi cha waTanzania iko kazini kuwatumikia waTanazania na kuwaletea maendeleo, na kabisa haina muda wala haja ya kubabaika na mtu wala porojo za patapotea hususani za mamluki wa mabwenyenye ya magharibi
hakuna haja ya porojo za kutafuta kiki na public sympathy nonsense gentlemanSasa yule mzee Malisa pia mnafanyia yale mambo yenu? ukatili wa kiasigani?