Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Chadema ya Lissu na Heche inampa heshima anayostahili Mzee Freeman Mbowe?Inajulikana kuwa aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 ni mganda aliyejulikana kwa jina la John Gideon Okello, lakini CCM Zanzibar haitaki kumtambua wala kumpa heshima yake.
CCM tunawajua ni wabinafsi lakini hili la kutokumpa heshima yake aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar litawagharimu.
Kila siku mnayaita ni mapinduzi matukufu wakati aliyeyaongoza hamtaki kumpa heshima yake inayostahili.
Lazima Zanzibar kuwe na mtaa, jengo, uwanja wa michezo, chuo kikuu au alama yoyote kama kumbukumbu kwa ajili ya Okello.
Mtu aliyefanya yale mapinduzi huku kina Karume na wenzake wakiwa wamejificha anawezaje kudharauliwa kiasi hiki?
Hiyo Historia anaijua mama Karine tu maana ndiyo wazareendo wa umanganiInajulikana kuwa aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 ni mganda aliyejulikana kwa jina la John Gideon Okello, lakini CCM Zanzibar haitaki kumtambua wala kumpa heshima yake.
CCM tunawajua ni wabinafsi lakini hili la kutokumpa heshima yake aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar litawagharimu.
Kila siku mnayaita ni mapinduzi matukufu wakati aliyeyaongoza hamtaki kumpa heshima yake inayostahili.
Lazima Zanzibar kuwe na mtaa, jengo, uwanja wa michezo, chuo kikuu au alama yoyote kama kumbukumbu kwa ajili ya Okello.
Mtu aliyefanya yale mapinduzi huku kina Karume na wenzake wakiwa wamejificha anawezaje kudharauliwa kiasi hiki?
ma ccm hayana shukrani kabisa maana wao wanachojua ni kukwapua tuChadema ya Lissu na Heche inampa heshima anayostahili Mzee Freeman Mbowe?
Nchi hii ili tuwe na maendeleo lazima tufanye overhaul ya chama tawalaHili nalo wale wanaotafuta shahada za Uzamili ama Uzamivu ama wanaotaka kuwa wabobevu wa historia ya Zanzibar wanatakiwa wachimbue.
Vichogo ndiyo walioongoza mapinduzi ya Zanzibar lakini leo wanakashfiwa na waliowakomboa.
Hapa inazungumziwa ccm,habari za cdm zinakuwasha kitu gani wewe Lumumba buku seven?Chadema ya Lissu na Heche inampa heshima anayostahili Mzee Freeman Mbowe?
Baba wa Taifa la ZanzibarππΎ.Baba wao wa Taifa ni Okello
Hakujawahi kuwa na siasa za uhasama Zanzibar kabla ya mapinduziKiufupi Zanzibar kulikuwa na siasa za uhasama kabla hata ya mapinduzi na muungano..
Tuambie sababu za Mapinduzi ya mwaka 1964.Hakujawahi kuwa na siasa za uhasama Zanzibar kabla ya mapinduzi
NyenyereTuambie sababu za Mapinduzi ya mwaka 1964.
Msimuone Nyenyere pekee..... tuambie na uhusika wa kina Hanga,Babu, Karume ambao ni Wazanzibari..Nyenyere
Ahahahahaha! Kwamba asemwe CCM tu. Chadema iachwe. Ndio demokrasia mnayohubiri? Ahahahahaha!!!Hapa inazungumziwa ccm,habari za cdm zinakuwasha kitu gani wewe Lumumba buku seven?
Ukitaka kulisema cdm hukatazwi bali ifungulie uzi wake na tutachangiaAhahahahaha! Kwamba asemwe CCM tu. Chadema iachwe. Ndio demokrasia mnayohubiri? Ahahahahaha!!!
Ni ngumu sana hii, nchi bado ipo katika Ujamaa wa Ki China na Urusi ambapo lazima kundi maalum lichague nani wa kutukuzwa na kupata heshima ya juu ndani ya nchi.Inajulikana kuwa aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 ni mganda aliyejulikana kwa jina la John Gideon Okello, lakini CCM Zanzibar haitaki kumtambua wala kumpa heshima yake.
CCM tunawajua ni wabinafsi lakini hili la kutokumpa heshima yake aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar litawagharimu.
Kila siku mnayaita ni mapinduzi matukufu wakati aliyeyaongoza hamtaki kumpa heshima yake inayostahili.
Lazima Zanzibar kuwe na mtaa, jengo, uwanja wa michezo, chuo kikuu au alama yoyote kama kumbukumbu kwa ajili ya Okello.
Mtu aliyefanya yale mapinduzi huku kina Karume na wenzake wakiwa wamejificha anawezaje kudharauliwa kiasi hiki?
Kabisa!!Ni ngumu sana hii, nchi bado ipo katika Ujamaa wa Ki China na Urusi ambapo lazima kundi maalum lichague nani wa kutukuzwa na kupata heshima ya juu ndani ya nchi.
Kumbe πππKuna watu wanajiita wanahistoria lakini hii mada wanaikwepa kisa Okello hakuwa mwenzao.