Zanzibar 2020 CCM Zanzibar kama ni kweli mmependekeza iwe hivi basi mnaenda kutengeneza Makundi na Mpasuko baina yenu

WEWE POPOMA UNAUGUA UGONJWA WA AKILI, GENTAMYCINE HUNA AKILI WEWE
 
Enheee...!
 
Aiseeeee. Umefurahi makame mbarawa atakuwa rais???
 
Aiseeeee. Umefurahi makame mbarawa atakuwa rais???

Ameshinda Dkt. Hussein Mwinyi na nayaheshimu Maamuzi ya wana CCM wote. Namtakia Kila la Kheri na Mwenyezi Mungu amuongoze vyema pia.
 
Ameshinda Dkt. Hussein Mwinyi na nayaheshimu Maamuzi ya wana CCM wote. Namtakia Kila la Kheri na Mwenyezi Mungu amuongoze vyema pia.

Nampa maalim Seif 60% kabla hata kampeni hazijaanza. Huyu mwinyi anakwenda kuzigawa kura za CCM huko.
 
Wewe umejuaje kuwa Prof.Makame Mbarawa ndiye Rais ajae?
 
Wewe umejuaje kuwa Prof.Makame Mbarawa ndiye Rais ajae?

Kwanini hili Swali hukuniuliza Siku ile ile tu nilipouanzisha huu Uzi na kwa Unafiki wako baada ya kujua Matokeo ndiyo unajifanya Kuuliza? Dunce!!!
 
Vipi utaendelea kusema🤣
 
Vipi utaendelea kusema🤣

Ameshinda Dkt. Hussein Mwinyi na nawapongeza mno na sana wana CCM kwa Maamuzi yao na ninamtakia Kila la Kheri katika Kuiongoza Zanzibar.
 
Kwanini hili Swali hukuniuliza Siku ile ile tu nilipouanzisha huu Uzi na kwa Unafiki wako baada ya kujua Matokeo ndiyo unajifanya Kuuliza? Dunce!!!
Angalia ulivyo na akili finyu GENTAMYCINE

Yamkini sikuuona Uzi wako, na kwanini ukiulizwa swali unapanic badala ya kujibu?

Nimekuuliza tu vizuri umejuaje Prof. Makame Mbalawa ndiye Rais ajae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…