Wakabambee58
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 1,302
- 1,939
Alikujaambiwa ni mzambia .Hiyo ndiyo kijani buwanaaaHuyu Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar wa sasa amenikumbusha kuhusu Bi. Mouldeline Castico!
Ahahahahaha! Huyu anaweza akaambiwa ni Mkongo! Ahahahahaha!!!Alikujaambiwa ni mzambia .Hiyo ndiyo kijani buwanaaa
Hutaki chura apige miaka 7❓Kama wameridhishwa na utendaji wake wamchague tena mwakani lakini siyo kubadili kipindi kimoja kuwa miaka saba. Wacha wamchurie shauri yao,CCM wana upuuzi mwingi sana
Mkuu, umesahau kuwa vikao vyote vikuu vya chama, mwenyekiti wake ni DADA'KE!!?Kwa wakati huu hii ndo njia pekee watu wa kijani wanatumia kubakia madarakani kituo kinacho fuata ni kamati kuu ya Dodoma ila kwa hku sidhani kama watatoboa
Nachojua mimi hata ikiwepo mifumo ila bado kutakuwa na athari katika masuala ya uongozi wa nchi kutokana na aina ya rais aliyepo madarakani. Sasa hauwezi kusema yeyote tu anaweza kuwa rais.Ndio inavyopaswa kuwa, labda useme kuna elimu inayosomewa ili kuwa rais.
Nasema yoyote anaweza, kwa maana hakuna mtu amezaliwa special wa kazi ya urais. Mifumo itamshepu atakayepata nafasi hiyo ili atakeleze majukumu yake kwa usahihi.Nachojua mimi hata ikiwepo mifumo ila bado kutakuwa na athari katika masuala ya uongozi wa nchi kutokana na aina ya rais aliyepo madarakani. Sasa hauwezi kusema yeyote tu anaweza kuwa rais.
Kwahiyo na dada mkubwa atatuketea pigi hizo na hku siyoMkuu, umesahau kuwa vikao vyote vikuu vya chama, mwenyekiti wake ni DADA'KE!!?
Mifumo haimgeuzi mtu kuwa robot, ndio maana nasema pamoja na mifumo ila bado athari ya uongozi kutokana na aina ya rais aliyekuwepo madarakani lazima iwepo. Huko kwa wenzetu wana mifumo ila bado wakiona kiongozi wao anafanya wasiyotaka wanampiga chini na kuweka mwengine.Nasema yoyote anaweza, kwa maana hakuna mtu amezaliwa special wa kazi ya urais. Mifumo itamshepu atakayepata nafasi hiyo ili atakeleze majukumu yake kwa usahihi.
Ndio maana nasema mifumo ndio inaamua kiongozi aweje, na akishindwa kwenda na mifumo anapigwa chini.Mifumo haimgeuzi mtu kuwa robot, ndio maana nasema pamoja na mifumo ila bado athari ya uongozi kutokana na aina ya rais aliyekuwepo madarakani lazima iwepo. Huko kwa wenzetu wana mifumo ila bado wakiona kiongozi wao anafanya wasiyotaka wanampiga chini na kuweka mwengine.
Naunga mkono uamuzi huo.Mwinyi yuko vizuri sana
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuongoza nchi katika muhula wake wa kwanza kwa kipindi cha miaka saba badala ya mitano.
Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk Mohamed Said Dimwa
wakati akifunga mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya Dimami kichama Zanzibar uliofanyika Ofisi za Wilaya hiyo Kiembesamaki.
Dk Dimwa amesema uamuzi wa kumuongezea muda wa kuongoza Dk Mwinyi unatokana na kuridhishwa na kasi yake ya kiutendaji katika kutekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 kwa zaidi ya asilimia 100 ndani ya kipindi miaka mitatu na miezi kadhaa tangu aingie madarakani.
Katika maelezo yake, Dk Dimwa amesema CCM Zanzibar imeona Serikali kuingia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ni hasara na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kuwa ni wananchi wanahitaji maendeleo endelevu, hivyo Rais Mwinyi anafaa kuongezewa muda ili Zanzibar iwe nchi ya visiwa iliyoendelea kiuchumi katika ukanda wa Afrika mashariki.
"Wajumbe wa sektetarieti tumejadili na kutathimini kwa kina juu ya utendaji wa Rais Mwinyi, tukajiridhisha hakuna mbadala wake na anastahiki aongoze nchi kwa kipindi cha miaka saba ili apate muda mzuri wa kufanya Mapinduzi ya kimaendeleo katika nyanja za kiuchumi na kijamii,” amesema Dk Dimwa.
Rais Hussein Mwinyi ni kijana anayeheshimika sana kwa utendaji na hata kwa maadili tena ni kwa watanzania wote kwa asilimia kubwa.Sidhani kama ataendekeza upuuzi na ujinga huu wa chawa wa CCM wa kuvunja katiba.Kwa maadili yake mema,AWAKEMEE HARAKA.Na Mwinyi asije akadhani wanampenda kwani zinaonekana ni mbinu za kumuangusha.Wajinga hawa wanajua hili litaleta tafrani na kumfanya adharaulike kupitia migongo yao.Sio watu hao Rais Mwinnyi.Wanavaa kijani tu lakini ni sawa sawa na wachawi tu.
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuongoza nchi katika muhula wake wa kwanza kwa kipindi cha miaka saba badala ya mitano.
Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk Mohamed Said Dimwa
wakati akifunga mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya Dimami kichama Zanzibar uliofanyika Ofisi za Wilaya hiyo Kiembesamaki.
Dk Dimwa amesema uamuzi wa kumuongezea muda wa kuongoza Dk Mwinyi unatokana na kuridhishwa na kasi yake ya kiutendaji katika kutekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 kwa zaidi ya asilimia 100 ndani ya kipindi miaka mitatu na miezi kadhaa tangu aingie madarakani.
Katika maelezo yake, Dk Dimwa amesema CCM Zanzibar imeona Serikali kuingia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ni hasara na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kuwa ni wananchi wanahitaji maendeleo endelevu, hivyo Rais Mwinyi anafaa kuongezewa muda ili Zanzibar iwe nchi ya visiwa iliyoendelea kiuchumi katika ukanda wa Afrika mashariki.
"Wajumbe wa sektetarieti tumejadili na kutathimini kwa kina juu ya utendaji wa Rais Mwinyi, tukajiridhisha hakuna mbadala wake na anastahiki aongoze nchi kwa kipindi cha miaka saba ili apate muda mzuri wa kufanya Mapinduzi ya kimaendeleo katika nyanja za kiuchumi na kijamii,” amesema Dk Dimwa.
Hakuna anayepinga na yupo vizuri sana,lakini katiba ?Naunga mkono uamuzi huo.Mwinyi yuko vizuri sana
Kwahiyo tuseme uongozi wa Obama ulikuwa sawa tu na Trump naye Trump uongozi wake ulikuwa sawa tu na Biden?Ndio maana nasema mifumo ndio inaamua kiongozi aweje, na akishindwa kwenda na mifumo anapigwa chini.