Pre GE2025 CCM Zanzibar wapendekeza Rais Mwinyi atawale kwa miaka 7, wasema kufanya uchaguzi 2025 ni hasara na matumizi mabaya ya fedha za umma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inasikitisha sana, KATIBA ya nchi yetu inadharauliwa na kukanyagwa hadharani!.
Hivi kweli Wajumbe wa sektetarieti ya CCM wanatoka hadharani na maoni hayo?. Iko wapi Demokrasia?, Kwa nini mpaka sasa hakuna mpaka kati ya Chama na SERIKALI?..
Bora tuipate Katiba Mpya na Serikali ya TANGANYIKA Ili kama UPUMBAVU huu inatokea ZANZIBAR basi wapambane wenyewe.
 
Mwinyi kama ana busara anatakiwa alipinge hili waziwazi, lisiendelee. Akikaa kimya basi ndiye anayeeneza haya. This is very disappointing.
 
Now this is detrimental to the Zanzibar people...! It's CCM again can't practice what they preach...!
 
View attachment 3024175

Rais Mwinyi anaongezewa miaka kwa katiba ipi? Kwann ccm wanainajisi katiba na wananchi mnakenua meno tu!??
KUEPUKA GHARAMA ZA KUFANYA CHAGUZI KATIKA VIPINDI VIFUPI VIFUPI, NA KUTOKANA NA CHAGUZI HIZO KUWA NA GHARAMA KUBWA, MIMI Crocodiletooth NAPENDEKEZA CHAGUZI ZIWE ZINAFANYIKA KILA BAADA YA MIAKA SABA KWA TANZANIA YOTE, BARA NA VISIWANI. (7).
 
Vichaa hawa
 
Mwinyi huyu anao umwinyi wa kujiona kuwa yeye ndiye rais sahihi wa Zanzibar huku aliyepita alisema ukweli kuwa CCM haijawahi kushinda uchaguzi Zanzibar.
 
KUEPUKA GHARAMA ZA KUFANYA CHAGUZI KATIKA VIPINDI VIFUPI VIFUPI, NA KUTOKANA NA CHAGUZI HIZO KUWA NA GHARAMA KUBWA, MIMI Crocodiletooth NAPENDEKEZA CHAGUZI ZIWE ZINAFANYIKA KILA BAADA YA MIAKA SABA KWA TANZANIA YOTE, BARA NA VISIWANI. (7).
Miaka saba ni michache iwe miaka saba mara sabini.
 
Soon utasikia story kama hizo huku bara
 
Ndio wanaelekea huko boss. Subiri tu utaona Nini kinaendelea.
Safari hii wakiachiwa wafanye hayo mazingaombwe nitaamini Tanzania ni nchi ya kipekee sana duniani.
 
Safari hii wakiachiwa wafanye hayo mazingaombwe nitaamini Tanzania ni nchi ya kipekee sana duniani.
Wanaweza kufanya na hakuna watakalofanywa. Umesahau zile lugha za kuwa katiba sio msahafu?
 
Wanaweza kufanya na hakuna watakalofanywa. Umesahau zile lugha za kuwa katiba sio msahafu?
Nadhani lililobaki kwetu ni kuvuta tu subira na kushuhudia maajabu hayo yakitokea. Binafsi nitashangaa sana na niwe wazi, itanilazimu kurekebisha uelewa na matumaini yangu juu ya watu wa nchi yetu hii.
 
Umechelewa kuelewa, ndio maana nakisema kuwa nchi Hila bila machafuko (factory reset) hakuna mabadiliko ya kweli, huwa unashangaa.
 
Umechelewa kuelewa, ndio maana nakisema kuwa nchi Hila bila machafuko (factory reset) hakuna mabadiliko ya kweli, huwa unashangaa.
Hapana. Sijawahi kushangaa huko siku za nyuma, ila sasa nitashangaa sana kama hayo usemayo hayatatokea.

Hapa CCM itabidi watumie ufundi wa kipekee sana, na nikiangalia huku sioni mtu mwenye uwezo wa kutengeneza ufundi huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…