Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KUEPUKA GHARAMA ZA KUFANYA CHAGUZI KATIKA VIPINDI VIFUPI VIFUPI, NA KUTOKANA NA CHAGUZI HIZO KUWA NA GHARAMA KUBWA, MIMI Crocodiletooth NAPENDEKEZA CHAGUZI ZIWE ZINAFANYIKA KILA BAADA YA MIAKA SABA KWA TANZANIA YOTE, BARA NA VISIWANI. (7).View attachment 3024175
Rais Mwinyi anaongezewa miaka kwa katiba ipi? Kwann ccm wanainajisi katiba na wananchi mnakenua meno tu!??
Vichaa hawa
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuongoza nchi katika muhula wake wa kwanza kwa kipindi cha miaka saba badala ya mitano.
Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk Mohamed Said Dimwa
wakati akifunga mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya Dimami kichama Zanzibar uliofanyika Ofisi za Wilaya hiyo Kiembesamaki.
Dk Dimwa amesema uamuzi wa kumuongezea muda wa kuongoza Dk Mwinyi unatokana na kuridhishwa na kasi yake ya kiutendaji katika kutekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 kwa zaidi ya asilimia 100 ndani ya kipindi miaka mitatu na miezi kadhaa tangu aingie madarakani.
Katika maelezo yake, Dk Dimwa amesema CCM Zanzibar imeona Serikali kuingia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ni hasara na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kuwa ni wananchi wanahitaji maendeleo endelevu, hivyo Rais Mwinyi anafaa kuongezewa muda ili Zanzibar iwe nchi ya visiwa iliyoendelea kiuchumi katika ukanda wa Afrika mashariki.
"Wajumbe wa sektetarieti tumejadili na kutathimini kwa kina juu ya utendaji wa Rais Mwinyi, tukajiridhisha hakuna mbadala wake na anastahiki aongoze nchi kwa kipindi cha miaka saba ili apate muda mzuri wa kufanya Mapinduzi ya kimaendeleo katika nyanja za kiuchumi na kijamii,” amesema Dk Dimwa.
Mwinyi huyu anao umwinyi wa kujiona kuwa yeye ndiye rais sahihi wa Zanzibar huku aliyepita alisema ukweli kuwa CCM haijawahi kushinda uchaguzi Zanzibar.
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuongoza nchi katika muhula wake wa kwanza kwa kipindi cha miaka saba badala ya mitano.
Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk Mohamed Said Dimwa
wakati akifunga mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya Dimami kichama Zanzibar uliofanyika Ofisi za Wilaya hiyo Kiembesamaki.
Dk Dimwa amesema uamuzi wa kumuongezea muda wa kuongoza Dk Mwinyi unatokana na kuridhishwa na kasi yake ya kiutendaji katika kutekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 kwa zaidi ya asilimia 100 ndani ya kipindi miaka mitatu na miezi kadhaa tangu aingie madarakani.
Katika maelezo yake, Dk Dimwa amesema CCM Zanzibar imeona Serikali kuingia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ni hasara na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kuwa ni wananchi wanahitaji maendeleo endelevu, hivyo Rais Mwinyi anafaa kuongezewa muda ili Zanzibar iwe nchi ya visiwa iliyoendelea kiuchumi katika ukanda wa Afrika mashariki.
"Wajumbe wa sektetarieti tumejadili na kutathimini kwa kina juu ya utendaji wa Rais Mwinyi, tukajiridhisha hakuna mbadala wake na anastahiki aongoze nchi kwa kipindi cha miaka saba ili apate muda mzuri wa kufanya Mapinduzi ya kimaendeleo katika nyanja za kiuchumi na kijamii,” amesema Dk Dimwa.
Miaka saba ni michache iwe miaka saba mara sabini.KUEPUKA GHARAMA ZA KUFANYA CHAGUZI KATIKA VIPINDI VIFUPI VIFUPI, NA KUTOKANA NA CHAGUZI HIZO KUWA NA GHARAMA KUBWA, MIMI Crocodiletooth NAPENDEKEZA CHAGUZI ZIWE ZINAFANYIKA KILA BAADA YA MIAKA SABA KWA TANZANIA YOTE, BARA NA VISIWANI. (7).
Si sawa kwa kutokana na sera zao.Kwahiyo tuseme uongozi wa Obama ulikuwa sawa tu na Trump naye Trump uongozi wake ulikuwa sawa tu na Biden?
Very much disappointing indeed !Mwinyi kama ana busara anatakiwa alipinge hili waziwazi, lisiendelee. Akikaa kimya basi ndiye anayeeneza haya. This is very disappointing.
Safari hii wakiachiwa wafanye hayo mazingaombwe nitaamini Tanzania ni nchi ya kipekee sana duniani.Ndio wanaelekea huko boss. Subiri tu utaona Nini kinaendelea.
Wanaweza kufanya na hakuna watakalofanywa. Umesahau zile lugha za kuwa katiba sio msahafu?Safari hii wakiachiwa wafanye hayo mazingaombwe nitaamini Tanzania ni nchi ya kipekee sana duniani.
Nadhani lililobaki kwetu ni kuvuta tu subira na kushuhudia maajabu hayo yakitokea. Binafsi nitashangaa sana na niwe wazi, itanilazimu kurekebisha uelewa na matumaini yangu juu ya watu wa nchi yetu hii.Wanaweza kufanya na hakuna watakalofanywa. Umesahau zile lugha za kuwa katiba sio msahafu?
Umechelewa kuelewa, ndio maana nakisema kuwa nchi Hila bila machafuko (factory reset) hakuna mabadiliko ya kweli, huwa unashangaa.Nadhani lililobaki kwetu ni kuvuta tu subira na kushuhudia maajabu hayo yakitokea. Binafsi nitashangaa sana na niwe wazi, itanilazimu kurekebisha uelewa na matumaini yangu juu ya watu wa nchi yetu hii.
Hapana. Sijawahi kushangaa huko siku za nyuma, ila sasa nitashangaa sana kama hayo usemayo hayatatokea.Umechelewa kuelewa, ndio maana nakisema kuwa nchi Hila bila machafuko (factory reset) hakuna mabadiliko ya kweli, huwa unashangaa.