Pre GE2025 CCM Zanzibar wapendekeza Rais Mwinyi atawale kwa miaka 7, wasema kufanya uchaguzi 2025 ni hasara na matumizi mabaya ya fedha za umma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nahisi watu wakivaa hayo mablauzi ya kijani na njano akili inayeyuka NDO maana mm sitaki kabisa kusikia mambo ya CCM au yanga
 
Ngoja afariki kwanza ndio watakoma na kimbelembele chao hawajajifunza kwa marehemu jiwe na wapambe wao.
Kwanza nyie vichwa flat screen rais wenu anateuliwa dodoma kaeni kimya na flatscreen head zenu
sasa wewe hilo chogo linakusaidia nini kwenye maisha?
 
Nimeona tamko tayari limetolewa kwamba ataheshimu maamuzi ya chama chake
 
Na ndiyo maana Kutwa ninasema hapa kuwa Watanzania kiasili ni Watu Wanafiki na tulikuwa na Chuki Binafsi na JPM.

ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU

Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.

Nimemaliza.
 
Nchi ya Zanzibar siyo ya CCM. Maamuzi ya Wazanzibar yaheshimiwe.
 
Ukitoa akili ya kuwaza kuwatawala watanzania milele na milele CCM hawajawahi kuwa na akili mbadala hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…