CCM Zanzibar yamfuta uanachama Balozi Ali Karume

Kuuza inatumiwa na mashabiki ili kunogesha stori hujasikia hata bandari inaambiwa tumeuza? Hii nchi ina watu wa hovyo sana
Wewe ni kichwa maji. Kama mkataba hauna ukomo hiyo sio kuuza? Kubwa jinga la ccm wee. Fisadi mchafu [emoji35]
 
Asante
 
Madaraka matamu sana. Kuna familia zinaamini Zanzibar na Tanganyika ni mali zao binafsi.

Kwa Zanzibari wameshaanza kupigana rafu mapema kipindi cha kwa ndio kwanza mpira wa kona.

Karume Vs Mwinyi. Tusubirie matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…