Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Itakuwq rahisi sana kwa Karume kuchukua urais maana ni wazi CCM huwa hawashindi zaidi ya ujanjaujanja tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauza Bandari au amepewa muwekezaji?Kuuza visiwa ama kuvikodisha?
Hata wenye CCM nao wanafukuzwa kisa eti kumkosoa kiranja mkuu huko Zanzibar, bila shaka hili jambo lina mkono wa walamba asali ana timu yao, tunataka hata huku bara vigogo wa CCM waiseme serikali yao kuhusu DP World. Kama balozi karume anaisemea Zanzibar kuuza visiwa vyake, je mimi ni nani hadi nisiseme kuhusu kuuzwa bandari `zetu? Nasubiri nimsikie mtoto wa kaka yake akikoroma kumhusu baba yake, hiyo ndio CCM, halafu mkoa wa Kusini Unguja ndio mkoa mama.View attachment 2681690
Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake Balozi Ali Karume.
Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika saa saba usiku wa kuamkia leo Jumamosi Julai 8, 2023 chini ya Katibu wa Mkoa wa CCM, Amina Mnacho.
Taarifa ya kumuondosha kwenye chama hicho ilitolewa na Katibu Mwenezi wa Mkoa huo, Ali Timamu Haji.
Hatua hiyo inakuja baada ya chama hicho kumpa onyo kutoka na kauli zake zake akidaiwa kukidhalilisha chama na kuwatukana viongzi wakuu hadharani.
Kutokana na matamshi ambayo Balozi Ali Kalume amekuwa akiyasema likiwemo la CCM Zanzibar haijawahi kushinda uchaguzi na hujuma za kutwaa ardhi ya familia yao zinazofanywa katika Serikali ya Raisi Mwinyi, kikao cha CCM kilichokaa jana usiku huko Zanzibar kimemfuta uanachama Balozi Karume.
Ikumbukwe pia kumekuwa na kutokuelewana kwa muda sasa kati ya Raisi Mwinyi na Balozi Karume kwa kile ambacho Balozi Karume amekuwa akipinga hadharani sera za Mwinyi kuuza visiwa mbalimbali vilivyoko Zanzibar.
Pia soma:
Umoja party ya konyo!!Chadema walipinga bwawa la umeme ,ndege za Atcl. Wana laana ya Magufuli.
Ali Karume njoo Umoja party
Ajabu uvccm anawapangia CDM nn cha kufanya 🤣🤣🤣Itakuwq rahisi sana kwa Karume kuchukua urais maana ni wazi CCM huwa hawashindi zaidi ya ujanjaujanja tu.
View attachment 2682079
Dr Slaa si mwanachama wa CCM, huko alikuwa kabla hajajiunga na Chadema kwa mara ya kwanza, kuteuliwa kuwa balozi hakukufanyi uwe mwanachama wa CCM, inagawa unatakiwa kutekeleza sera za CCM!Halimashauri kuu ya chama Cha mapinduzi nchini Zanzibari hasa ya Kijiji alichojiungia uana ccm,usiku wa kuamkia Tarehe 8/07/2023 saa Saba usiku imemfutilia mbali uanchama mtoto wa Rais wa kwanza wa Zanzibari
Pamoja na kufukuzwa kwake duru za siasa ndani ya ccm Taifa zinadai yakuwa Leo Tarehe 8/07/2023 wataketi kubariki maamuzi hayo uku Dr Slaa nae anajadiliwa either apewe kalipio Kali au afutiliwe mbali
Tutawaliwe tena na akina Karume? HAPANA labda awanie uraisi huko kwao Zanzibar, hawa jamaa wakitafuta madaraka wanakuwa waungwana na wakishapata wanageuka na kuwa Wazanzibari na si Watanzania, tumewachoka. Huku tutaenda na Dr Slaa baasi.Itakuwq rahisi sana kwa Karume kuchukua urais maana ni wazi CCM huwa hawashindi zaidi ya ujanjaujanja tu.
View attachment 2682079
Hawa chadomo hupenda kurukia rukia makapi na watu walioachwa na vyama vyengineUgomvi wa familia zenye nguvu za kisiasa ndani ya CCM Zanzibar, ambao wote wanataka uongozi. CHADEMA wakae kimya wamwandae mtu wao, wasimtegemee huyo.
Itakuwq rahisi sana kwa Karume kuchukua urais maana ni wazi CCM huwa hawashindi zaidi ya ujanjaujanja tu.
View attachment 2682079
Chadema walipinga bwawa la umeme ,ndege za Atcl. Wana laana ya Magufuli.
Ali Karume njoo Umoja party
Bwawa unaona ni kitu cha maana sana. Au hizo ndege zinazojiendesha kihasara unaona ni issue sana.Chadema walipinga bwawa la umeme ,ndege za Atcl. Wana laana ya Magufuli.
Ali Karume njoo Umoja party
Itakuwq rahisi sana kwa Karume kuchukua urais maana ni wazi CCM huwa hawashindi zaidi ya ujanjaujanja tu.
View attachment 2682079
Mpaka leo unawaza chadema kule zanzibarItakuwq rahisi sana kwa Karume kuchukua urais maana ni wazi CCM huwa hawashindi zaidi ya ujanjaujanja tu.
View attachment 2682079
mkuu umoja party ni chama cha kumuunga mkono uncle rip Magu? hebu funguka......Chadema walipinga bwawa la umeme ,ndege za Atcl. Wana laana ya Magufuli.
Ali Karume njoo Umoja party