Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kikao hicho ni Batili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni baba yake na Fatma karume!?Safi sana aende Kwa mtoto wake wake Fatma
Ni baba yake mdogo. Kwanini umeshangaa?Kumbe ni baba yake na Fatma karume!?
Keyboard warrior unahamasisha uasi na mapinduzi. Acha ujinga.Mimi nashangaa sana nchi hii jinsi watu walivyoipigania Hadi kupatikana kwa Uhuru. Uhuru wa kuongea tulikuwa nao toka enzi mkoloni lakini tulikataaa ukoloni wa kunyonywa/exploitation of our national resources.
Kumbuka mwaka 1978 Tanzania ilivamiwa na Nduli Iddi Amini Kule Kagera na ilikuwa sehemu kidogo tu ya ardhi ya Tanzania kilichotokea imebaki kuwa historia ya Dunia - Mwalimu Nyerere alisimama kidete kuhakikisha ardhi ya Tanzania inabaki kuwa ya Tanzania na kuwa salama.
Jeshi la wananchi kazi Yao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi hii, Leo eneo lote la bahari toka kaskani Hadi kusini linakuwa mikononi mwa mwarabu ( nchi nyingine kabisa - Dubai) halafu wao na mapumbu Yao wamelala tu kutetea ugali wao, hivi wanajeshi wa nchi hii mnajielewa kweli?
Hivi wanajeshi wa nchi hii hamuoni Wala kusikia kilio Cha watanzania kuhusu kutetea Rasilimali na mipaka ya nchi hii?
Ukiachana na Bandari, oneni Kule ngorongoro nchi inavyochukuliwa na waarabu na kuwa nchi ndogo ndani ya nchi yetu - yaani mwarabu anakuwa na sauti ndani y resources za nchi yetu halafu nyie mpo tu na mnaona kinachoendelea? Hapo ndio mnalinda mipaka ya nchi hii kweli?
JWTZ si Kuna military intelligence humo, au nanyi mmelala usingizi wa pono?
Hivi ni Nini kinachowashinda kuchukua maamuzi magumu ili kumrudusha huyu Mzanzibari kwao Kule pemba au akimbilie huko kwa wajomba zake Dubai na sisi tuanze upya? Fanyeni maamuzi ya kiume ambayo hata vizazi vijavyo watakuja kuwakumbuka na hapa ndio mtajiongezea heshima kwa taifa hili.
Watanzania wataona kweli Wana jeshi imara ambalo lipo kulinda Resources za nchi hii na mipaka yake.
Hebu jiulizeni PM kichwa kibovu kile hakieleweki kabisa na siku hizi anaongea pumba tu, si manajionea wenyewe? Fanyeni maamuzi magumu na watanganyika tupo nyuma yenu kwa hili. Hakuna mpumbavu anayeunga mkono ujinga huu unaendelea.
Imagine; VP ndio amekuwa kama katekista Sasa hivi, yaani ni BONGE la boyaaa, hata kuongea ni kazi amekaa kama ansuiri tu 2025 ifike akae atulie. Yaani hata Mkuu wa wilaya akiongea kitu kinaeleweka kuliko hiki kituko tulicho nacho, nadhani wenyewe mnaliona hilo.
KUMBUKA MWAKA 1964 ZANZIBAR WALIFANYA MAPINDUZI ILI KUMUONDOA MUARABU / Kumbukeni utawala wa sultan uling'olewa Ili wazanzibari wawe huru na ardhi Yao na kuupinga utumwa na unyonyaji wa waarabu, Leo hii Cha kushangaza nyingi huku bado mnaona mwarabu huyo huyo aliyetimuliwa Zanzibar Sasa anakuja kupora Mali za Tanganyika na nyinyi mpo tu mnatoa mimacho! HIVI NYIE WANAJESHI MMEROGWA NA NANI?
MNAJUA KIAPO MLICHO APA CHA KULINDA MIPAKA YA NCHI HII?
NB: Fanyeni maamuzi magumu kwa mustakabali wa watu million 60 wa Tanganyika, achaneni na hizi drama sijui nchi itagawanyika huo ni ujinga.
Nyie ndio suluhisho pekee, mfyatueni tu aondoke akimbilie huko kwa wajomba.
Baada y miezi mitatu serikali ya mpito Ili kuandaa uchguzi Mkuu na nchi kurejea kwa watu sahihi. Na hapo Sasa wanafiki wote wanaojipendekeza kwa mama tutakuwa timeshawajua na wenye uchungu na nchi na Rasilimali za Tanganyika tutakuwa tumeshawajua.
NINAWATAKIA KILA LAKHERI KATIKA UTETEZI WA MIPAKA NA RASILIMALI ZA NCHI HII.
BADO TUNA IMANI NA NYIE JWTZ NYIE NDIO WA KUTUOKOA KWA SASA.
Daah! Kama kweli vile sema tu hatupendi kuambiwa ukweliWanaofuta wenzao uanachama ndo wanaotakiwa kufutwa. Ila Kwa vile wameshika mpini wanakata wenzao wanavyopenda.
Kumbe na ccm nako hakuna demokrasia... hahahahaha wajinga sana nyie watu. Ingekuwa chama cha upinzani hasa chadema mngepiga mayoweSafi sana aende Kwa mtoto wake wake Fatma
Unataka tutumie msemo upi ambapo mkataba hauna ukomo?Kuuza inatumiwa na mashabiki ili kunogesha stori hujasikia hata bandari inaambiwa tumeuza? Hii nchi ina watu wa hovyo sana
Kumbuka mwaka 1978 Tanzania ilivamiwa na Nduli Iddi Amini Kule Kagera na ilikuwa sehemu kidogo tu ya ardhi ya
Hivi ni Nini kinachowashinda kuchukua maamuzi magumu ili kumrudusha huyu Mzanzibari kwao Kule pemba au akimbilie huko kwa wajomba zake Dubai na sisi tuanze upya? Fanyeni maamuzi ya kiume ambayo hata vizazi vijavyo watakuja kuwakumbuka na hapa ndio mtajiongezea heshima kwa taifa hili.
Samia si Mpemba.
Hana power yoyote. Wenye nguvu ni wanaodhibiti jeshi, polisi na usalama wa taifa.Kitanuka Zanzibar very soon! Ali Karume ana power sana na anaungwa mkono na wengi ndani ya chama.
Ajiunge ACT aongeze nguvu
Nimesikiliza hoja zake! anakataa wizi na udanganyifu kwenye uchaguzi! Anahoji kuhusu bara kuwachagulia wazanzibar marais!View attachment 2681690
Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake Balozi Ali Karume.
Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika saa saba usiku wa kuamkia leo Jumamosi Julai 8, 2023 chini ya Katibu wa Mkoa wa CCM, Amina Mnacho.
Taarifa ya kumuondosha kwenye chama hicho ilitolewa na Katibu Mwenezi wa Mkoa huo, Ali Timamu Haji.
Hatua hiyo inakuja baada ya chama hicho kumpa onyo kutoka na kauli zake zake akidaiwa kukidhalilisha chama na kuwatukana viongzi wakuu hadharani.
Kutokana na matamshi ambayo Balozi Ali Kalume amekuwa akiyasema likiwemo la CCM Zanzibar haijawahi kushinda uchaguzi na hujuma za kutwaa ardhi ya familia yao zinazofanywa katika Serikali ya Raisi Mwinyi, kikao cha CCM kilichokaa jana usiku huko Zanzibar kimemfuta uanachama Balozi Karume.
Ikumbukwe pia kumekuwa na kutokuelewana kwa muda sasa kati ya Raisi Mwinyi na Balozi Karume kwa kile ambacho Balozi Karume amekuwa akipinga hadharani sera za Mwinyi kuuza visiwa mbalimbali vilivyoko Zanzibar.
Pia soma:
Hongera sana Karume kwa kufukuzwa CCM kutokana na kutoa maoni yako! Karibu sana Chadema balozi huku kuna uhuru wa kuhoji na kujieleza. Karibu mkuu.View attachment 2681690