Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Hicho chama ni mali ya Baba yake.Wewe hakuna anayekujua hata ukifa leo mazishi yako yatahudhuriwa na walala hoi wenzako.Safi sana aende Kwa mtoto wake wake Fatma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho chama ni mali ya Baba yake.Wewe hakuna anayekujua hata ukifa leo mazishi yako yatahudhuriwa na walala hoi wenzako.Safi sana aende Kwa mtoto wake wake Fatma
Mtasambaratika stay onlineSafi sana aende Kwa mtoto wake wake Fatma
Utaita sana,huyo Karume sio mgeni kwenye hayo mambo we pimbiMtasambaratika stay online
Kulikuwa na haja Gani Kukaa kikao saa saba za usiku? Hii inadhihirisha asilimia kubwa ya viongozi wa CCM ni wanga.View attachment 2681690
Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake Balozi Ali Karume.
Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika saa saba usiku wa kuamkia leo Jumamosi Julai 8, 2023 chini ya Katibu wa Mkoa wa CCM, Amina Mnacho.
Taarifa ya kumuondosha kwenye chama hicho ilitolewa na Katibu Mwenezi wa Mkoa huo, Ali Timamu Haji.
Hatua hiyo inakuja baada ya chama hicho kumpa onyo kutoka na kauli zake zake akidaiwa kukidhalilisha chama na kuwatukana viongzi wakuu hadharani.
Kutokana na matamshi ambayo Balozi Ali Kalume amekuwa akiyasema likiwemo la CCM Zanzibar haijawahi kushinda uchaguzi na hujuma za kutwaa ardhi ya familia yao zinazofanywa katika Serikali ya Raisi Mwinyi, kikao cha CCM kilichokaa jana usiku huko Zanzibar kimemfuta uanachama Balozi Karume.
Ikumbukwe pia kumekuwa na kutokuelewana kwa muda sasa kati ya Raisi Mwinyi na Balozi Karume kwa kile ambacho Balozi Karume amekuwa akipinga hadharani sera za Mwinyi kuuza visiwa mbalimbali vilivyoko Zanzibar.
Pia soma:
Utaita sana,huyo Karume sio mgeni kwenye hayo mambo we pimbi
Sasa hata kama kuvikodisha kwani ni vyake? [emoji848]Kuuza inatumiwa na mashabiki ili kunogesha stori hujasikia hata bandari inaambiwa tumeuza? Hii nchi ina watu wa hovyo sana
Karume ameamua kusema anayoyaamini. Sasa tuangalie CCM yaweza mfukuza kweli au akikata rufaa anarudishwaMama asipokuwa mkali watamyumbisha sana.
Karume anaandaliwa kumng’oa yule Rais aliyezaliwa Mkuranga!!Karume ameamua kusema anayoyaamini. Sasa tuangalie CCM yaweza mfukuza kweli au akikata rufaa anarudishwa
Watu wa maana ni wale makondoo wanaokubali kila kitu? Hata gas tuliambiwa inapewa mwekezaji. Mbona kwa sasa gas sio yetu na hakuna anayejitokeza kusema hamjaiuza?Kuuza inatumiwa na mashabiki ili kunogesha stori hujasikia hata bandari inaambiwa tumeuza? Hii nchi ina watu wa hovyo sana
uesday, May 3, 2011Baba Mmalawi-Rais wa Kwanza wa Zanzibar
Mama mwarabu
Kaka-Rais wa zamani wa Zanzibar
Hatuna shida na Kufukuzwa Kwake huko ila hamjatuhakikishia na Uhai wake mtaendelea kumuacha nao au nao mtausitisha ghafla?View attachment 2681690
Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake Balozi Ali Karume.
Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika saa saba usiku wa kuamkia leo Jumamosi Julai 8, 2023 chini ya Katibu wa Mkoa wa CCM, Amina Mnacho.
Taarifa ya kumuondosha kwenye chama hicho ilitolewa na Katibu Mwenezi wa Mkoa huo, Ali Timamu Haji.
Hatua hiyo inakuja baada ya chama hicho kumpa onyo kutoka na kauli zake zake akidaiwa kukidhalilisha chama na kuwatukana viongzi wakuu hadharani.
Kutokana na matamshi ambayo Balozi Ali Kalume amekuwa akiyasema likiwemo la CCM Zanzibar haijawahi kushinda uchaguzi na hujuma za kutwaa ardhi ya familia yao zinazofanywa katika Serikali ya Raisi Mwinyi, kikao cha CCM kilichokaa jana usiku huko Zanzibar kimemfuta uanachama Balozi Karume.
Ikumbukwe pia kumekuwa na kutokuelewana kwa muda sasa kati ya Raisi Mwinyi na Balozi Karume kwa kile ambacho Balozi Karume amekuwa akipinga hadharani sera za Mwinyi kuuza visiwa mbalimbali vilivyoko Zanzibar.
Pia soma:
Wacha mama aendelee kuwadekezaUHURU wa maoni huo!!unavokula vichwa
Visiwa vinakodishwa ? Tender ilitangazwa wapi huenda kuna wazawa wange-chip in; nilisikia hata kwa Mtanganyika kupata ardhi tu ni shida (ila nilielewa sababu kisiwa kile ni kidogo na watanganyika wengi wakienda huko huenda kitazidiwa) sasa kama tunakodisha si tuanze kulegeza masharti hata wadau wa huku wamwagike huko ?!!!Kuuza visiwa ama kuvikodisha?