Pre GE2025 CCM Zanzibar yasema kilichozungumzwa na NKM Zanzibar Dkt. Dimwa kuhusu kumuongezea muda Rais Mwinyi ni maoni yake binafsi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Endeleeni tu na huu ujinga wenu. Mbona mnachokitafuta, mtakipata tu miaka siyo mingi kuanzia sasa.
 
Yaani uchawa umerasimishwa kabisa huko CCM, pumbavu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…