johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
CCM Zanzibar imemruka kimanga Naibu Katibu mkuu Dr Mohamed Dimwa aliyesema Kamati maalumu ya CCM Zanzibar imependekeza Rais Mwinyi aongezewe Muda Kutoka miaka 5 hadi 7
Katibu mwenezi CCM Zanzibar Khamis Mbeto amesema hakuna kikao chochote cha Chama kilichofikia makubaliano hayo na kwamba hayo ni Maoni Binafsi ya Dr Dimwa
Source Mwananchi
Pia soma
- Kuelekea 2025 - CCM Zanzibar wapendekeza Rais Mwinyi atawale kwa miaka 7, wasema kufanya uchaguzi 2025 ni hasara na matumizi mabaya ya fedha za umma
- Dkt. Dimwa ataka Katiba ya Zanzibar ibadilishwe Ili Dr Mwinyi atawale vipindi viwili vya miaka Saba badala ya mitano
- Hashim Rungwe: Kama tatizo ni muda, Rais Samia aongezewe muda ili tupate Katiba Mpya ndio tufanye Uchaguzi
- Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka
- Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono
- Mzee Mwinyi: Rais Magufuli aongezewe muda wa miaka 5 zaidi kama shukrani
- Zile kelele za Rais Magufuli aongezewe muda mbona hazipingwi kwa Rais Samia?
- Uchaguzi 2020 - Dkt. Magufuli aongezewe muda wa kutawala
- Rais Magufuli akifanya mambo haya, Watanzania watamlilia wenyewe aongezewe muda wa kutawala