CCM45: Chama cha Mapinduzi chavisihi na kuviomba vyama vya siasa nchini kuendeleza umoja wa kitaifa, kuthamini na kukuza ustawi wa demokrasia iliyopo

Tataizo la Vyama vya Upinzani badala ya kwenda mbele vinarudi nyuma,

Iko wapi NCCR?
Iko wapi CUF?
Iko wapi CHADEMA


Vyama hivi vinakua na kusinyaa haraka
Vimefika ukomo wake sababu 1 tu hawabadilishi viongozi wao iliwapate nguvu, akili, ujasiri na mbinu mpya.
Vinainuka na kukaa haraka tu,
 
Shaka anakasi nzuri sana aise
 
Tataizo la Vyama vya Upinzani badala ya kwenda mbele vinarudi nyuma,

Iko wapi NCCR?
Iko wapi CUF?
Iko wapi CHADEMA


Vyama hivi vinakua na kusinyaa haraka
Acheni kutumia mabavu na vyombo vya dola kukandamiza vyama vya upinzani uone kama vitasinyaa kama unavyosema. Acha watu wafanye siasa bila ya vizingiti uone mambo[emoji23][emoji23]
 
Hotuba imejaa tambo na majisifu Tu. Ukichukua hotuba kama ilivyo, CCM haina kasoro, haina madhaifu.
Hivi kweli;
CCM inakuza demokrasia?
CCM inataka ushirikiano na Wapinzani wake wa kweli?
CCM inajali maisha ya maskini wa nchi hii?
Matambo gani, Huo ndio ukweli halisi
 
Tataizo la Vyama vya Upinzani badala ya kwenda mbele vinarudi nyuma,

Iko wapi NCCR?
Iko wapi CUF?
Iko wapi CHADEMA


Vyama hivi vinakua na kusinyaa haraka

..madai yako ni ya kweli.

..sasa tujiulize kwanini kila chama cha upinzani kinapopanda chati mara moja utasikia kimeanza kuporomoka.

..sababu mojawapo ni MABAVU YA DOLA yanayoelekezwa kwa kila chama cha upinzani kinachoonyesha kufanikiwa ktk wakati husika.

..Nccr ilipokuwa maarufu dola ili-deal nao huku vyama vingine vikiachwa vipumue.

..Sasa jiulize wakati wa Tanu / Ccm ni chama kichanga kama kilipata kuandamwa na kunyanyaswa na dola kama vyama vya upinzani vya wakati huu.

..Tanu walikuwa na kesi moja kubwa ya kisiasa ile ya Mwalimu Nyerere, Robert Makange, na Baghdele. Linganisha na makesi ambayo wapinzani wamekabiliana nayo tukiwa nchi huru.

..Kuhusu kesi dhidi ya wapinzani anza na zile za uhaini dhidi ya Juma Duni na wenzake, na muendelezo wake mpaka hii ya ugaidi dhidi ya Mbowe na vijana watatu.

..Sijawahi kusoma taarifa za askari polisi wa Muingereza kuvamia mikutano ya Tanu na kujeruhi au kuuwa wananchi. Lakini kuna matukio kadhaa ya Polisi wa Tanzania huru kupiga wanachama wa upinzani, kuwatia ulemavu, na hata kusababisha mauaji.

..Nadhani changamoto ya dola kuviandama na kuvihujumu vyama vya upinzani ikiondoka tutaweza kushuhudia vyama vya upinzani vikipanda chati na kuendelea kuimarika kuliko ilivyo sasa hivi na tulichoshuhudia huko nyuma.

Cc Tindo, Erythrocyte
 
Lini dola imeua vyama vya Upinzani kama sio tamaa za Viongozi wenu tu
 
Shaka

Ungepata wahariri habari zako zinazoandikwa ziwe na themes e.g. utangulizi, mafanikio, changamoto, mapendekezo etc ingependeza zaidi!
 
Shaka

Ungepata wahariri habari zako zinazoandikwa ziwe na themes e.g. utangulizi, mafanikio, changamoto, mapendekezo etc ingependeza zaidi!
Unafaa sana kumsaidia,CCM tunataka kuwa bora kila siku,
 
Unahoja nzuri, Washauri hao Upinzani
 
asante Shaka
 
Hotuba imejaa tambo na majisifu Tu. Ukichukua hotuba kama ilivyo, CCM haina kasoro, haina madhaifu.
Hivi kweli;
CCM inakuza demokrasia?
CCM inataka ushirikiano na Wapinzani wake wa kweli?
CCM inajali maisha ya maskini wa nchi hii?
Khaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…