CCM45: Chama cha Mapinduzi chavisihi na kuviomba vyama vya siasa nchini kuendeleza umoja wa kitaifa, kuthamini na kukuza ustawi wa demokrasia iliyopo

Hata bila kusoma hiyo takataka, waanze wenyewe kwa kuacha kuhujumu chaguzi na kuiba kura na wajue kwamba tunataka katiba mpya.
 
Bila utawala wa sheria, kuhubiri kuendeleza democrasia na ustawi wa jamii ni sawa na kupiga gitaa ndani ya maji.
 
Hongereni sanaa kumbe mmezeeka ndio maanaaa?!
45 years,bado tunaongelea matundu ya choo,madarasa ya nyasi,elimu mbovu, barabara chini ya kiwango..
Mimi nadhani imefika muda wenu wa kupumzika,mmekula vya kutosha na mmezeeka sasaaa.
Miaka takriban thelathini ufipa bado wanafanya mahojiano na waandishi wa habari chini ya maturubai mabovu uani.
 
Mkuu Mwanahabari wa Taifa, asante sana kwa bandiko hili.
Hivi mpango huu ukiisha wapi?.
P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…