CCM45: Chama cha Mapinduzi chavisihi na kuviomba vyama vya siasa nchini kuendeleza umoja wa kitaifa, kuthamini na kukuza ustawi wa demokrasia iliyopo

Mkuu Pascal Mayalla heshima kwako,

Akili yako iheshimiwe daima,
 
Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
 
Mnawahubiria mshikamano wa vyama vya siasa ilhali mmewashikia mgongoni, marungu na mitutu kupitia mgongo wa policcm.
 
Unaweza kuthibitisha hili mkuu sangai galgano

Tukikueleza udhalimu wa kutawala unaofanywa na ccm utaanza kusema kuthibitisha lazima tuende mahakamani!!! Na mahakama yenyewe, mahakimu ni wa ccm!!
Hata hivyo ngoja tuwaeleze udhalimu wa ccm kiutawala; leo Samia anasema hawajakataza Vyama vya siasa kufanya mikutano kwani wabunge wanaruhusiwa kufanya mikutano kwenye majimbo yao. Je Bungeni kuna wabunge wangapi wa majimbo kutoka vyama vya upinzani ambao wanaweza kumpa ujasiri Samia kusema hao wabunge wanaweza kufanya mikutano ya siasa nchini? Inaelekea bado hatuheshimu sheria iliyoruhusu uwepo wa vyama vya upinzani!!!
 
Unaweza kuthibitisha hili mkuu sangai galgano
Nikuthibitishie mimi
1. Mauji mfano Mawazo na wengine
2. Utekaji mfano Mo
3. Kubambikia watu kesi mfano Uamsjo
4. Umasikini mfano toka Tshs 7 kwa dola 1972 hadi Tshs 2333 jwa dola 2022
5. Mfarakano wa kitaifa na chuki kila mahali
6. Uhujumu uchumu mfano Loliondo na Ngorongoro

Basdhi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…