CCNA-msaada

CCNA-msaada

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Posts
1,747
Reaction score
386
Salaam.
Jamani mi naamini jf hakiharibiki kitu.
Kuna jamaa yangu yuko Mwanza kwa muda, kaniuliza anawezapata wapi "nondo" au materials za CCNA(cisco)?
Najua internet ipo ila you never know, the world is full of possibilities.
Asanteni.
 
ccna ....imegawanyika sehemu hizi
1.ccna discovery
2.ccna explorations
3.ccna security

sasa we unaulizia matelial yapi anayoyataka
 
Salaam.
Jamani mi naamini jf hakiharibiki kitu.
Kuna jamaa yangu yuko Mwanza kwa muda, kaniuliza anawezapata wapi "nondo" au materials za CCNA(cisco)?
Najua internet ipo ila you never know, the world is full of possibilities.
Asanteni.

Ingia Cisco.com utapata majibu...

Mfano: Google

Ingia hapo utapata majibu ya kutosha na pia kwenye net kuna dumps nyingi tu uwezo wako.

CCNA Voice
CCNA Security
Na pia kuna CCNA inayojitegemea.
 
You guys are so great.
Kuna jamaa mmoja alisema humu, jf ni kama watoto wa baba mmoja mama mmoja.
Heshima kwenu nyote mliochangia na mlio-view.

Nenda kwenye link ya google hapo juu kuna nondo za maana.
 
Back
Top Bottom