Haya wakuu naona tumeanza kuchanja mbuga, nimepata CCNP - Pass4Sure!!!
Nilivyoiangalia haraka haraka usiku nimeona itakusaidia sana kama uta go thru materials za mkuu Kilongwe(CCNA/CCNP/CCIE Tutorial), kwa vile hii ni maswali na majibu!! Professor wangu kanambia kuwa maswali almost yote utakayokumbana nayo katika chumba cha mtihani utakuwa umeisha yaona katika hizi material. Hivyo changamkeni!!!!!