Lakini huyo mama akisoma hapa si atajua kwamba wewe umeamua kuja kudodosa maamuzi yake kwenye mitandao ya kijamii? Na unafikiri kampuni yenu unaiweka kwenye nafasi gani? Sidhani kama umefanya vizuri.Ndiyo maana sijataja jina la kampuni wala jina la mteja, na mimi mwenyewe nina uhakika hunifahamu so you can't make any links apart from a series of clueless guessworks.
Duh! Hii ni hatari kuliko. Nimecheka mbaya!Mie naitaka hii katika gari la jamaa yangu please!
Imenishangaza sana hii. Kuna mama mmoja anamiliki mini-supermarket moja hapa A town alitupatia tenda ya kumwekea CCTV kwenye biashara yake. Watu wa installation walifanya kwenye angles walizochagua, sisi tulimwekea software kwenye computer yake ofisini ya kumwezesha kufanya monitoring, surveillance na reviews muda wowote anaotaka. Actually anaweza aka-copy footage za siku hiyo kwenye laptop na kwenda kuzi-review nyumbani kwa muda wake. Mama kaipenda sana, akatuita pembeni akasema anataka tukamfanyie huduma kama hiyo nyumbani kwake. Cha kushangaza, mojawapo ya sehemu alikotaka ifungwe CCTV camera ni chumba cha housegirl wake. Bedrooms zingine zote hajaweka, ni hiyo ya house girl tu. Hii imekaaje wadau.
You have made my day Mkuu... thankshiyo ndo inaitwa ulinzi shirikishi khaaaaaaaaaaa........
Hivi ingekuwa kweli shem anakula hiyo HG, mamaa anategemea nini kwenye hizo CCTV reviews?
Lakini huyo mama akisoma hapa si atajua kwamba wewe umeamua kuja kudodosa maamuzi yake kwenye mitandao ya kijamii? Na unafikiri kampuni yenu unaiweka kwenye nafasi gani? Sidhani kama umefanya vizuri.
Style ya Big Brother revolution! Natumaini hatutalazimishwa kwenda kutoa ushahidi mahakamani kama huyo binti akilalamika? Kama vipi tukamshauri aitoe aisee kisije kikatusanukia bure!Sheria inasemaje juu y HG kupigwa picha bila ridhaa yake kwani kuna mda atakuwa anabadili nguo hivyo ataonekana akiwa naked.nina wasiwasi na huyo mama
...What i meant Ndg ni kwamba, hayo uliyoandika hapa yanahusisha kwa namna moja ama nyingine na kazi unazofanya ktk hio Kampuni ambayo hujaitaja, na kama ni Kampuni makini, itakuwa na Mkataba wa Huduma kwa Wateja ambapo ndani ya Mkataba huo ni muhimu kuwa na Kipengele kinacholinda Siri kati ya Mteja na Kampuni. Sasa unapoweka hapa hayo ambayo umekubaliana/umemfanyia mteja wako, automatically unakiuka yaliyomo katika ule Mkataba wa Huduma kwa Mteja.Ndiyo maana sijataja jina la kampuni wala jina la mteja, na mimi mwenyewe nina uhakika hunifahamu so you can't make any links apart from a series of clueless guessworks.
Imenishangaza sana hii. Kuna mama mmoja anamiliki mini-supermarket moja hapa A town alitupatia tenda ya kumwekea CCTV kwenye biashara yake. Watu wa installation walifanya kwenye angles walizochagua, sisi tulimwekea software kwenye computer yake ofisini ya kumwezesha kufanya monitoring, surveillance na reviews muda wowote anaotaka. Actually anaweza aka-copy footage za siku hiyo kwenye laptop na kwenda kuzi-review nyumbani kwa muda wake. Mama kaipenda sana, akatuita pembeni akasema anataka tukamfanyie huduma kama hiyo nyumbani kwake. Cha kushangaza, mojawapo ya sehemu alikotaka ifungwe CCTV camera ni chumba cha housegirl wake. Bedrooms zingine zote hajaweka, ni hiyo ya house girl tu. Hii imekaaje wadau.
Hakuna privacy yoyote iliyoharibiwa hapa. Hajatajwa mtu, mtaa, tarehe, jina la kampuni wala chochote cha ku-implicate mtu. isitoshe mdaku yeyote anaweza kutunga story kama hii na kubandika hapa. kwa hiyo hatujadili mtu, tunajadili kilichotendeka....What i meant Ndg ni kwamba, hayo uliyoandika hapa yanahusisha kwa namna moja ama nyingine na kazi unazofanya ktk hio Kampuni ambayo hujaitaja, na kama ni Kampuni makini, itakuwa na Mkataba wa Huduma kwa Wateja ambapo ndani ya Mkataba huo ni muhimu kuwa na Kipengele kinacholinda Siri kati ya Mteja na Kampuni. Sasa unapoweka hapa hayo ambayo umekubaliana/umemfanyia mteja wako, automatically unakiuka yaliyomo katika ule Mkataba wa Huduma kwa Mteja.
Narudia tena ni Mtizamo na ni Mawazo yangu tu.
..Aaaaggh kumbe hii ni Stori ya Kutunga!!!,ungesema mapema Jibaba. basi usiku mwema. Ngoja nikakojoe nikalale mie.Hakuna privacy yoyote iliyoharibiwa hapa. Hajatajwa mtu, mtaa, tarehe, jina la kampuni wala chochote cha ku-implicate mtu. isitoshe mdaku yeyote anaweza kutunga story kama hii na kubandika hapa. kwa hiyo hatujadili mtu, tunajadili kilichotendeka.
wewe siyo mstaarubu kabisa, yaani umeamua utuanike hadharani, nimesema lazima sharia ichukue mkondo wake..na...sikuletei wateja tena....Ndiyo maana sijataja jina la kampuni wala jina la mteja, na mimi mwenyewe nina uhakika hunifahamu so you can't make any links apart from a series of clueless guessworks.