CCTV chumba cha housegirl

CCTV chumba cha housegirl

Ndiyo maana sijataja jina la kampuni wala jina la mteja, na mimi mwenyewe nina uhakika hunifahamu so you can't make any links apart from a series of clueless guessworks.
Lakini huyo mama akisoma hapa si atajua kwamba wewe umeamua kuja kudodosa maamuzi yake kwenye mitandao ya kijamii? Na unafikiri kampuni yenu unaiweka kwenye nafasi gani? Sidhani kama umefanya vizuri.
 
Imenishangaza sana hii. Kuna mama mmoja anamiliki mini-supermarket moja hapa A town alitupatia tenda ya kumwekea CCTV kwenye biashara yake. Watu wa installation walifanya kwenye angles walizochagua, sisi tulimwekea software kwenye computer yake ofisini ya kumwezesha kufanya monitoring, surveillance na reviews muda wowote anaotaka. Actually anaweza aka-copy footage za siku hiyo kwenye laptop na kwenda kuzi-review nyumbani kwa muda wake. Mama kaipenda sana, akatuita pembeni akasema anataka tukamfanyie huduma kama hiyo nyumbani kwake. Cha kushangaza, mojawapo ya sehemu alikotaka ifungwe CCTV camera ni chumba cha housegirl wake. Bedrooms zingine zote hajaweka, ni hiyo ya house girl tu. Hii imekaaje wadau.

Duhh naona hana imani na house girl wake
 
Hivi ingekuwa kweli shem anakula hiyo HG, mamaa anategemea nini kwenye hizo CCTV reviews?

Mwanamke mjinga huibomoa ndoa yake mwenyewe.
Huyu mama anataka kuibomoa ndoa yake wahenga wanasema ukimchunguza sana kuku huwezi kumla.
 
Sheria inasemaje juu y HG kupigwa picha bila ridhaa yake kwani kuna mda atakuwa anabadili nguo hivyo ataonekana akiwa naked.nina wasiwasi na huyo mama
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Lakini huyo mama akisoma hapa si atajua kwamba wewe umeamua kuja kudodosa maamuzi yake kwenye mitandao ya kijamii? Na unafikiri kampuni yenu unaiweka kwenye nafasi gani? Sidhani kama umefanya vizuri.

Atajuaje kuwa ni yeye? Maduka ya style yake yako mengi hapa A town na siye mwanamke pekee anayemiliki duka la aina hiyo. Labda kama atajihisi kuwa ndiye pekee aliyeweka CCTV kwenye chumba cha housegirl wake, ambalo hilo hatuna ushahidi. Na biashara hizi tunashindania wengi hapa mjini, sasa atakayejitokeza hapa na kujitaja yeye na mteja wake na aliyomfanyia ndiye atakayejiharibia mwenyewe.
 
Sheria inasemaje juu y HG kupigwa picha bila ridhaa yake kwani kuna mda atakuwa anabadili nguo hivyo ataonekana akiwa naked.nina wasiwasi na huyo mama
Style ya Big Brother revolution! Natumaini hatutalazimishwa kwenda kutoa ushahidi mahakamani kama huyo binti akilalamika? Kama vipi tukamshauri aitoe aisee kisije kikatusanukia bure!
 
Ndiyo maana sijataja jina la kampuni wala jina la mteja, na mimi mwenyewe nina uhakika hunifahamu so you can't make any links apart from a series of clueless guessworks.
...What i meant Ndg ni kwamba, hayo uliyoandika hapa yanahusisha kwa namna moja ama nyingine na kazi unazofanya ktk hio Kampuni ambayo hujaitaja, na kama ni Kampuni makini, itakuwa na Mkataba wa Huduma kwa Wateja ambapo ndani ya Mkataba huo ni muhimu kuwa na Kipengele kinacholinda Siri kati ya Mteja na Kampuni. Sasa unapoweka hapa hayo ambayo umekubaliana/umemfanyia mteja wako, automatically unakiuka yaliyomo katika ule Mkataba wa Huduma kwa Mteja.
Narudia tena ni Mtizamo na ni Mawazo yangu tu.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Imenishangaza sana hii. Kuna mama mmoja anamiliki mini-supermarket moja hapa A town alitupatia tenda ya kumwekea CCTV kwenye biashara yake. Watu wa installation walifanya kwenye angles walizochagua, sisi tulimwekea software kwenye computer yake ofisini ya kumwezesha kufanya monitoring, surveillance na reviews muda wowote anaotaka. Actually anaweza aka-copy footage za siku hiyo kwenye laptop na kwenda kuzi-review nyumbani kwa muda wake. Mama kaipenda sana, akatuita pembeni akasema anataka tukamfanyie huduma kama hiyo nyumbani kwake. Cha kushangaza, mojawapo ya sehemu alikotaka ifungwe CCTV camera ni chumba cha housegirl wake. Bedrooms zingine zote hajaweka, ni hiyo ya house girl tu. Hii imekaaje wadau.

This is breach of privacy!..pia ungemuuliza yeye imekaaje!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
...What i meant Ndg ni kwamba, hayo uliyoandika hapa yanahusisha kwa namna moja ama nyingine na kazi unazofanya ktk hio Kampuni ambayo hujaitaja, na kama ni Kampuni makini, itakuwa na Mkataba wa Huduma kwa Wateja ambapo ndani ya Mkataba huo ni muhimu kuwa na Kipengele kinacholinda Siri kati ya Mteja na Kampuni. Sasa unapoweka hapa hayo ambayo umekubaliana/umemfanyia mteja wako, automatically unakiuka yaliyomo katika ule Mkataba wa Huduma kwa Mteja.
Narudia tena ni Mtizamo na ni Mawazo yangu tu.
Hakuna privacy yoyote iliyoharibiwa hapa. Hajatajwa mtu, mtaa, tarehe, jina la kampuni wala chochote cha ku-implicate mtu. isitoshe mdaku yeyote anaweza kutunga story kama hii na kubandika hapa. kwa hiyo hatujadili mtu, tunajadili kilichotendeka.
 
anawasi wasi n housegerl wake anapembea na mumewe u anamuibia
 
Sielewi kwa nini watu wanaajiri hao mahausi gerli. Sifagilii kabisa mimi kumtumikisha mtu kazi za nyumbani.
 
Hakuna privacy yoyote iliyoharibiwa hapa. Hajatajwa mtu, mtaa, tarehe, jina la kampuni wala chochote cha ku-implicate mtu. isitoshe mdaku yeyote anaweza kutunga story kama hii na kubandika hapa. kwa hiyo hatujadili mtu, tunajadili kilichotendeka.
..Aaaaggh kumbe hii ni Stori ya Kutunga!!!,ungesema mapema Jibaba. basi usiku mwema. Ngoja nikakojoe nikalale mie.
 
Hiyo sio njema kumfanyia binadam mwenzio hivyo
 
Ndiyo maana sijataja jina la kampuni wala jina la mteja, na mimi mwenyewe nina uhakika hunifahamu so you can't make any links apart from a series of clueless guessworks.
wewe siyo mstaarubu kabisa, yaani umeamua utuanike hadharani, nimesema lazima sharia ichukue mkondo wake..na...sikuletei wateja tena....
 
Mama anamtamani hgl akimwona yupo nkd anapata raha!siyo sababu ya mume
 
Back
Top Bottom