CCTV chumba cha housegirl

CCTV chumba cha housegirl

..Aaaaggh kumbe hii ni Stori ya Kutunga!!!,ungesema mapema Jibaba. basi usiku mwema. Ngoja nikakojoe nikalale mie.

Si ya kutunga, ila ni mekuhakikishia tu kuwa hakuna uwezekano wowote wa mtu yeyote mwingine kumtambua mteja wetu kwa sababu sijatoa identification details zozote. Kwa hiyo mteja wetu ana amani 100%. Mjadala huu haumharibii chochote.

Kwa hiyo anataka kupiga chabo au ni vipi?
..Anataka aone machejo ya mzee na house girl wake. Huenda likawa darasa tosha kabisa na yeye aka-improve you never know!!

Haya ma CCTV wizi mtupu. Labda wakishakufungia uangalie kwa umakini wakitoka ubadili maana hata mimi nimejikuta naachansubstance na kuangalia jinsi watu wasivyotunza siri za wateja. Ndo uashangaa umeweka CCTV lakini mpaka mtaa wa kumi wanajua in two days.
Ni kweli sana hii. Kuna hoteli moja hapa A town walituita wakatuambia watu wao wa security wanalalamika kuna camera hazisomi, na hii ilikuwa baada ya mteja mmoja kulalamika kuibiwa. Tulipofika tukakuta kuna watu walifanyia utundu top floor wakavusha camera moja ya kwenye corridor through the ceiling wakatumbukizia chumba kimojawapo. Na tulipo-search kwenye back-up ya control room tukakuta footage za camera hiyo zipo zinaonesha chumba hicho. Mhusika alifukuzwa kazi siku ileile lakini mabosi wa hoteli waliamua kutomshitaki ili wasiharibu imani ya wateja wao through the publicity ambayo ingetokea.

LAKINI KWA BIASHARA ZAKO UMEHARIBU. KWA SABABU KAMA KUNA MTEJA MWINGINE ALIKUWA ANA MPANGO WA KUWEKA CCTV KWENYE CHUMBA CHA HOUSE GIRL, AKISOMA HAPA HATAFANYA. HIVYO UTAKOSA MAHELA.
Inawezekana nikapata wateja wengi zaidi, hasa wale ambao walikuwa hawajafikiria kuwa kumbe hii inawezekana. Watu wana fantasies zao za ajabu.

akisoma hapa atajitambua na msubiri aje awashukie ofisini kwenu.

Anataka kula deo beki tatu atapokuwa analiwa mambo.

Huyo housegirl akimpata mwanasheria mzuri na kumwelezea haki zake za msingi na kumshtaki huyo mama atapata compensation ya kutosha kabisa na kuachana na huo u housegirl. This will be a completely violation of her privacy unless huyo mama amwambie in advance. Halafu nyie mnaofunga hizo CCTV hamna guidelines au mnaweka pesa mbele tuu?

Kama huyo mama anataka aweke CCTV kwenye chumba cha housegirl, kisheria inambidi aweke notice kubwa mlangani kuwa the room is being monitored by CCTV 24 hours, ili kila mtu atakayetaka kuingia kwenye hicho chumba ajue in advance. In fact nyie wafunga CCTV mna wajibu wa kisheria kuweka hizo notice popote pale mnapofunga CCTV. Otherwise, you will be joined as a co-defendant. Bahati bongo hatufuati sheria. Lakini kama unataka kujua legal implications za kufunga hizo CCTV bila kumtaarifu housegirl, ungeiweka hii thread kwenye jukwaa la science and technology au la sheria.
Elimu kubwa unanipa hii mkubwa wangu, hizi njaa zinatutuma mengi. Hii biashara sisi tumeingia kizalizali tu kwa kuunganishiwa na makampuni ya ulinzi ambayo mengi ni ya haohao maafande wastaafu, kwa hiyo tunaamini hizo sheria wanazijua, na hata kikisanuka ni wao wanajibu. Lakini kiukweli hizi tenda za pembeni (au niite mpango wa kando) wao hawahusiki, na tunamwambia kabisa mteja kuwa anafanya at his/her own risk, kikisanuka inakula kwake.

akisoma hapa atajitambua na msubiri aje awashukie ofisini kwenu.
Hata akijihisi hawezi kuja kulalamika sababu huu ulikuwa mpango wa kando. Akitaka ang'oe mwenyewe lakini hatudaiani.

Ikitokea huyo mama laptop yake akaipeleka kwa fundi au ikaibiwa hizo videos zinaweza kuvuja na kumuharibia huyo hg maisha yake ya baadaye, imagine after 15 years hg amekuwa mtu mzima na watoto wake mkubwa na video zake zimeanikwa mtandaoni

Kwa hilo hata mazaa anajielewa kuwa kwenye masuala yote ya computer yeye ni mteja wetu wa kudumu, hilo tulimtahadharisha sana.

Elimu kubwa unanipa hii mkubwa wangu, hizi njaa zinatutuma mengi. Hii biashara sisi tumeingia kizalizali tu kwa kuunganishiwa na makampuni ya ulinzi ambayo mengi ni ya haohao maafande wastaafu, kwa hiyo tunaamini hizo sheria wanazijua, na hata kikisanuka ni wao wanajibu. Lakini kiukweli hizi tenda za pembeni (au niite mpango wa kando) wao hawahusiki, na tunamwambia kabisa mteja kuwa anafanya at his/her own risk, kikisanuka inakula kwake.

Professionalize your business sir. Acheni kuendesha biashara kizalizali.

atalia ipo siku, maana ataona baba anakula, kijana wake wa kiume anakula, houseboy anamega, mwisho na binti yake anamegwa na houseboy humo humo! Na yeye anamegwa na mumewe. Kwa hiyo; If A=B and B=C then A=C. Therefore kama baba anammega housegirl, na kijana anammega house girl, na baba anammega mama= na kijana anammega mama

hii ni DIFFERENTIAL EQUATION auDIFFERENTION INTEGRATION?maana du! Inaonesha uli-score A++ O-LEVEL na A-LEVEL.big up mkulu

...What i meant Ndg ni kwamba, hayo uliyoandika hapa yanahusisha kwa namna moja ama nyingine na kazi unazofanya ktk hio Kampuni ambayo hujaitaja, na kama ni Kampuni makini, itakuwa na Mkataba wa Huduma kwa Wateja ambapo ndani ya Mkataba huo ni muhimu kuwa na Kipengele kinacholinda Siri kati ya Mteja na Kampuni. Sasa unapoweka hapa hayo ambayo umekubaliana/umemfanyia mteja wako, automatically unakiuka yaliyomo katika ule Mkataba wa Huduma kwa Mteja.

Narudia tena ni Mtizamo na ni Mawazo yangu tu.

Kama siri imefichuliwa hapa, unaweza kutaja jina la huyo mama,jina la kampuni iliyo install CCTV na jina la huyu mtu aliyevunja mkataba wa kutunza siri za wateja? Kama huwezi basi HAKUNA SIRI ILIYOVUJA!!

huyo ana mashaka na hicho chumba cha hgirl kuwa kinatumika isivyo halali, anataka kufanya monitoring ya kila kinachoendelea chumbani humo na hiyo ina faida na hasara zake inabidi a get ready to face the consequences. i remember mume aliwahi kusafiri na kurudi na cctv camera akataka kuifunga mbele na nyuma ya nyumba honestly sikupenda idea hiyo maana zinaweza kuleta athari nyingi hata kufikia kuhatarisha uhusiano na amani iliyopo maana wakati mwingine sehemu safe ya kukutana na mpango wa kando huwa ni nyumbani kwako! sasa with those CCTV inakuwaje hiyo!

atalia ipo siku, maana ataona baba anakula, kijana wake wa kiume anakula, houseboy anamega, mwisho na binti yake anamegwa na houseboy humo humo! Na yeye anamegwa na mumewe. Kwa hiyo; If A=B and B=C then A=C. Therefore kama baba anammega housegirl, na kijana anammega house girl, na baba anammega mama= na kijana anammega mama

Ama kweli JF is the home of the great thinkers....Naona assumption za proval za math zinatumiwa kumpa ushauri mtu....teh...teh......

Inawezekana nikapata wateja wengi zaidi, hasa wale ambao walikuwa hawajafikiria kuwa kumbe hii inawezekana. Watu wana fantasies zao za ajabu.

Na mm nataka kwa Houseboy wetu...coz naona red alert kwa dada zangu. tukiwa tayari nitakushtua mkuu....!

Back
Top Bottom