Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Kwa hivyo huyu Dj anaigiza? Mbona amefanyiwa surgery jana usiku, ama hio pia ni maigizo?mbona sioni kama kuna bastola imetumika? shooting na damu hamna?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hivyo huyu Dj anaigiza? Mbona amefanyiwa surgery jana usiku, ama hio pia ni maigizo?mbona sioni kama kuna bastola imetumika? shooting na damu hamna?
How was the surgery, amepona? Owino yuko wapi saa hii.Kwa hivyo huyu Dj anaigiza? Mbona amefanyiwa surgery jana usiku, ama hio pia ni maigizo?
Huletwa kama ad na watu wenu , saa iingine watu wenu hufananisha mambo na Bongo hivyo uki search mambo ya huku unashangaa unakutana na news za Kenya. That’s what I know from my little understanding.Hivi nyie mnajuaje news zinazotrend Kenya kwenye twitter? Mnasearch vipi?
Dj anaendelea vizuri, atapona. Owino anaendelea kula maharagwe rumande. Atafikishwa kizimbani siku ya jumatatu.
Asante kwa kunijuza.Huletwa kama ad na watu wenu , saa iingine watu wenu hufananisha mambo na Bongo hivyo uki search mambo ya huku unashangaa unakutana na news za Kenya. That’s what I know from my little understanding.