Cctv video: Huyu mwizi inasemekana kawaliza wafanya biashara wengi kariakoo ila za mwizi 40 kanasa,

R-K-O

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2023
Posts
482
Reaction score
2,178
Wezi wanatia hasara sana, Boss mwenye duka anaingia hasara, alieajiriwa kuuza duka anaanza kutiliwa mashaka na bosi kwamba ndio mwizi, anakatwa mshahara ama kufukuzwa kabisa

Wengine waliolizwa wana sema siku nyingine anavaaga kanzu na balaghashia

JINSI ANAVYOIBA
Your browser is not able to display this video.



ALIVYODAKWA, video imekatwa kwa maudhui kuondoa disturbing content maana kuna jamaa alikua anakuja na gongo kama anaua nyoka
Your browser is not able to display this video.
 
Mkiambiwa cctv zina faida, wengine hawaelewi

Yaani dawa kuwa na camera kila sehemu hata hiyo njia wanazopita watu
Imagine una camera 8 zingine unaelekeza wanapita nje pia

Tena jamaa huyo hajui kupiga nimengekuwa mimi angekunya hapo hapo [emoji1]
 
Cctv camera ni muhimu sana watu hawaelewi tu.

Sio kwenye biashara, hata nyumbani ni muhimu sana kwenye mazingira ya nyumbani nje ya nyumba.

Marekani na ulaya matukio mengi sana ya uhalifu yametatuliwa kwa msaada wa cctv camera. Wao hii teknolojia ilianza miaka ya 80s na 90s.

Sasa hivi karibu kila mtaa ama nyumba wana cctv camera.

Tubadilike, tuweke cctv camera, zipo za bei ndogo sana na faida yake ni kubwa sana
 
Shida haziwekwi bure
 
Yaani mtu una mkabidhi nguo kisha unamuachia mgongo huku ukiendelea na story😬hata ningekuwa mimi ningechukua🏃🏿‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…