CCTV yako ukiunganisha na internet basi tambua hupo live duniani

CCTV yako ukiunganisha na internet basi tambua hupo live duniani

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Nimepata bahati kukutana na mtu ambaye katika safari zangu tukawa tunapiga story za teknolojia.

Si kujua huyu jamaa ni kitengo kikubwa sana ila interest ya mazungumzo yake ndio ili nifanya kujiuliza sana.

Kuna jamaa alivujisha jinsi CIA wanavo dukua taarifa za watu na kujua watu.Hii ni kweli kabisa na zile movie mnazo ziona ukipitisha sura lako basi taarifa zishasoma kwenye mifumo.

Hizi CCTV tunazo tununua kuweka majumbani,maofisini,serikalini zina tu watch your back mamba 27 ukiunganisha internet na kupeleka taarifa kwenye nchi zao.

kitu kingine ni jinsi simu zinavyo wasiliana hata kama mjaunganishana wifi, Bluetooth,NFC na n.k.

Mfano iphone za sasa ukiriport umeibiwa au unatafuta basi mfumo utapeleka simu zote na vifaa vyote vyake ambavyo vipo kwenye internet na kutunza taarifa.

Taarifa hizi hata kama ukizima internet kama zimeshapatikana basi ukipita au kuwa eneo ambalo kuna vifaa vyake zinajulishwa na kukumbushwa kusambaza,mfano ile simu hipo ndani kwako na bado mfumo ujaondolewa na hipo offline ikifikiwa na taarifa na hiyo taarifa ni yake itamuomba aliye sambaza kujulisha.

sasa we umewasha data simu yako au umekwenda kwenye vile vifaa vilivyo sambaza vikakuta taarifa bila kujua basi vitawajulisha ambao wana internet kupeleka taarifa.

Huu ni mfano ambao CCTV japo wenyewe umejikita kwenye simu camera zetu,picha tunazopiga,self za simu kuwa wazi
 
Back
Top Bottom