Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Picha za mjongeo kutoka kwenye CCTV za dimba la Chamazi zikionesha Mtu akimwaga vitu eneo la kuingilia uwanjani, punde tu baada ya Azam kukabidhi uwanja kwa mamlaka kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga SC.
Soma: Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo
Leo ni mechi kati ya Yanga dhidi ya Azam hapo Chamazi na hii video imetolewa na Watu wa karibu na Azam wakilalamikia vitendo hivyo ambavyo sio vya kimpira.