CCTV yanasa mtu akimwaga vitu lango Kuu la Chamazi kabla ya mechi ya Yanga SC na Azam FC

CCTV yanasa mtu akimwaga vitu lango Kuu la Chamazi kabla ya mechi ya Yanga SC na Azam FC

hata video hujaangalia aliyemwaga dawa za uchawi ni shabiki wa yanga. Na azam wamemaindi vibaya mno.
View attachment 3141551
Macomandoo wa Yanga tunawajua mbona,mwenye uchawi wa kinyunyiza anajulikana,tena muda mwingine hadi changing uwa ananyunyiza sumu kabisa,ndio maana Yanga uwa tayari kulipa faini
Screenshot_20241102_134252_Chrome.jpg
 
Hizi propaganda za kutaka kuichafua Yanga kwamba imefanya hayo yote. Azam na washirika wenu acheni huu uhuni haina maana yoyote uwanja ni wenu mshindwe kueatambua hao watu
 
Picha za mjongeo kutoka kwenye CCTV za dimba la Chamazi zikionesha Mtu akimwaga vitu eneo la kuingilia uwanjani, punde tu baada ya Azam kukabidhi uwanja kwa mamlaka kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga SC.

Soma: Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo

Leo ni mechi kati ya Yanga dhidi ya Azam hapo Chamazi na hii video imetolewa na Watu wa karibu na Azam wakilalamikia vitendo hivyo ambavyo sio vya kimpira.
View attachment 3141473
Utamsikia waziri wa michezo akijibu swali bungeni kuwa huyo alikuwa anaua wadudu
 
Ngozi nyeusi tutaacha lini ujinga? Hao wanaofanya hivyo ni wa hovyo na wanaotishika au kuogopeshwa na huo ujinga nao ni wa hovyo pia.
 
Back
Top Bottom