Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Hizo CCTv hazikamati? Yaani baada ya tukio kama hilo hakuna alamu inayo piga kelele na kumfungia anaye fanya jambo tofauti?Picha za mjongeo kutoka kwenye CCTV za dimba la Chamazi zikionesha Mtu akimwaga vitu eneo la kuingilia uwanjani, punde tu baada ya Azam kukabidhi uwanja kwa mamlaka kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga SC.
Soma: Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo
Leo ni mechi kati ya Yanga dhidi ya Azam hapo Chamazi na hii video imetolewa na Watu karibu na Azam wakilalamikia vitendo hivyo ambavyo sio vya kimpira.
View attachment 3141473
😆 ndio timu gani hiyo mkuuUchawi fc watapita kimyakimya
Si ndio, inabidi warekebishe 🚨Hizo CCTv hazikamati? Yaani baada ya tukio kama hilo hakuna alamu inayo piga kelele na kumfungia anaye fanya jambo tofauti?
Yanga aipiti hapo,acha tu tupigwe faini,timu inayoroga uchawi wa kumwaga vitu inajulikanaWale wazee wa faini uchwao wanajulikana
Watu wa Mikia FC hao wachawi Makolo FC wanatuwangia.Picha za mjongeo kutoka kwenye CCTV za dimba la Chamazi zikionesha Mtu akimwaga vitu eneo la kuingilia uwanjani, punde tu baada ya Azam kukabidhi uwanja kwa mamlaka kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga SC.
Soma: Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo
Leo ni mechi kati ya Yanga dhidi ya Azam hapo Chamazi na hii video imetolewa na Watu karibu na Azam wakilalamikia vitendo hivyo ambavyo sio vya kimpira.
View attachment 3141473
hata video hujaangalia aliyemwaga dawa za uchawi ni shabiki wa yanga. Na azam wamemaindi vibaya mno.Yanga aipiti hapo,acha tu tupigwe faini,timu inayoroga uchawi wa kumwaga vitu inajulikana
hata video hujaangalia aliyemwaga dawa za uchawi ni shabiki wa yanga. Na azam wamemaindi vibaya mno.