Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
View attachment 3141551hata video hujaangalia aliyemwaga dawa za uchawi ni shabiki wa yanga. Na azam wamemaindi vibaya mno.
Hizi propaganda za kitito tushapita huko. Acheni janjajanja chezeni mpira halali mnaweza fika levels za Yangahata video hujaangalia aliyemwaga dawa za uchawi ni shabiki wa yanga. Na azam wamemaindi vibaya mno.
Umejuaje kama ni yanga? Uyo aliyemwaga alikuwa kaandikwa kwenye tishet yake kwamba ni yanga?Hao ni Yanga, hawatapita hapo. Ifike hatua polisi wafunge milango yote isipokuwa hapo tuone kama watarudi
Umejuaje kama ni yanga? Uyo aliyemwaga alikuwa kaandikwa kwenye tishet yake kwamba ni yanga?Hao ni Yanga, hawatapita hapo. Ifike hatua polisi wafunge milango yote isipokuwa hapo tuone kama watarudi
Aaahh Mwasibu CPA uchwara SUNZU BOBAN ovyo kabisa umerudi tena.Hao ni Yanga, hawatapita hapo. Ifike hatua polisi wafunge milango yote isipokuwa hapo tuone kama watarudi
Utamsikia waziri wa michezo akijibu swali bungeni kuwa huyo alikuwa anaua waduduPicha za mjongeo kutoka kwenye CCTV za dimba la Chamazi zikionesha Mtu akimwaga vitu eneo la kuingilia uwanjani, punde tu baada ya Azam kukabidhi uwanja kwa mamlaka kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga SC.
Soma: Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo
Leo ni mechi kati ya Yanga dhidi ya Azam hapo Chamazi na hii video imetolewa na Watu wa karibu na Azam wakilalamikia vitendo hivyo ambavyo sio vya kimpira.
View attachment 3141473
Kuliko simba?Ila Yanga linapokuja suala la ushirikina, huwa ni wazingativu sana.
Ova
Ulishasikia ama kuona Cctv inakamata mtu?Hizo CCTv hazikamati? Yaani baada ya tukio kama hilo hakuna alamu inayo piga kelele na kumfungia anaye fanya jambo tofauti?
CCTV haikamati watu ila inatakiwa kuwe na mfumo wa kuelekeza nini kinatokea CCTV inakiona cha hatari, (alarming systems)Ulishasikia ama kuona Cctv inakamata mtu?
Mtu kashika kikopo sijui kimfuko kile, hata Cctv ingelikuwa na alert mode, kuna cha hatari gani kilichoonekana mhusika kashikilia?CCTV haikamati watu ila inatakiwa kuwe na mfumo wa kuelekeza nini kinatokea CCTV inakiona cha hatari
Hilo nalo nenoMtu kashika kikopo sijui kimfuko kile, hata Cctv ingelikuwa na alert mode, kuna cha hatari gani kilichoonekana mhusika kashikilia?