Cd ya ngono!

jcb

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2010
Posts
280
Reaction score
66
Jamaa kaletewa Laptop yakufanyia marekebisho na mpenzi wake anaetaraji kufunga nae ndoa nakuishi kama mke na mume.
Katika kuiwasha akagundua ndani ya cd drive kuna VCD ku play ni ya picha za ngono.
Katika kumhoji mpenzi akadai hapa town hiyo ni biashara huwa analetewa anazitoa copy kwaajili yakuuza yeye siyo mtizamaji wa picha hizo!
Great thinkers hili limekaaje?
 
sioni tatizo,hayo ni mambo ya kawaida tu....kuna siku nilikuwa naongea na mshkaji wangu anaduka la kuchoma cd,alinidokeza kuwa wateja wake wengi wa hizo cd ni wadada wanaweka order part one mpaka four.....anamuandalia mshikaji chakula cha usiku vizuri...:lalala:
 
mmmh.... sidhan kama mtu akitazama kuna shida sana ila kama anafanya kama biashara,then haijakaa njema kwa kweli...
 
ndo matatizo ya kuchelewa kuja mjini
mngekuja enzi za Mkapa basi lol

by now mshazoea ya mjini
 
mmmh.... sidhan kama mtu akitazama kuna shida sana ila kama anafanya kama biashara,then haijakaa njema kwa kweli...

Ni kweli hakuna tatizo kwa upande wa shetani maana hayo mapicha yana lengo la kuharibu ufahamu wa mwanadamu, lakini kwa upande wa Mungu lipo tatizo kubwa sana. Kuna msemo unasema Kwa kutazama tunabadilishwa. Kwa hiyo kama ni mtu wa Mungu, elewa kwamba ukitazama hayo mapicha ya ngono unabadilishwa kiroho.
Yesu alikuja ili tuwe na uzima, kisha tuwe nao tele.
 
mmmh.... sidhan kama mtu akitazama kuna shida sana ila kama anafanya kama biashara,then haijakaa njema kwa kweli...

Tatizo siyo kutizama! Biashara yenyewe na binti mwenyewe hawaendani nayo!
 

kuna uhusiano wowote kati ya kutumia \cd ya ngono na uaminifu ktk mapenzi/ndoa?. kama hili jambo ni geni kwa mwanaume huyu basi na amwache huyo mwali. lakini kama si jambo geni kwa mwanaume huyu, basi atambue hata huyu mwali ni kati ya wanadamu wenye ubinadamu kama yeye, asihuzunike wala kusikitika juu ya hilo, isipokuwa kama aona hilo halifai ktk ndoa pamoja na kuwa si jambo geni, aikarabati tabia ya mwali, ili iachane na tabia ya kuangalia cd za ngono- hili si tatizo kubwa hata kidogo, ni suala la either kurekebishana kwa kuongozana juu ya badala ya cd ya ngono nini kifanyike kupata kile kinachopatikana kwenye cd ya ngono.
 
Ingawa sio tatizo kuubwa lakini ni vizuri mdau akaelewa kuwa muuzaji wa hizo CD's na mtazamaji wote lao moja tuu.
 

Hakuna tatizo kubwa sana kama umekuta VCD tu na hakuna dalili zozote zinazoonyesha kuwa huyo mpenzi wako ana tabia mbaya au za toafauti. Binafsi, huwa sipendezewi kabisa na mapicha ya namna hiyo maana picha hizi hu-corrupt mind za watu na kuwafanya wawe na tabia na mahusiano ya kimwili yasiyo ya kawaida au kumfanya mtu kuwa na ubunifu usio na msingi na wenye madhara kwenye mahusiano.

Nakushauri sana kama wewe si mpenzi wa hizi picha, mshauri mpenzi wako aachane na hiyo biashara ila kama wote ni wapenzi, nafikiri ni wajibu wenu kukaa na kuangalia kama mikanda hii ina tija kwenye mahusiano yenu.

Thanks,
HP
 
Hizi NDOA hizi!!..sasa binti kuangalia porno inahusika nini?..
Tuache kuishi 'artificial life' bana..
Ni bora kuyajua mambo yote kisha kuchagua namna ya kuyaepuka!!
 
Jamaa aendelee tu na ndoa. Ukweli utajulikana ndani ya ndoa. Hiyo yaweza kuwa dalili tu ya mvua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…