Cd ya ngono!

Cd ya ngono!

Tatizo ni biashara haramu Preta
biashara haram ni kuuza bangi,madawa ya kulevya,kuuza binadamu ila kwa hilo...kama kawaida yeye na wateja wako tu..life tait mazee!!!
 
aah, mimi nilidhani jamaa alikuta mdada ndiye star kwenye hiyo movie bana.... hiyo ndiyo ingekuwa issue sasa
 
Kuangalia tu sioni kama ni tatizo,anaweza asiwe mtazamaji wa cd hizo ila akawa anatabia mbaya.
 
Jamaa aache ushamba,mambo mengine kwa dunia ya yanawezekana.
 
mh yupi mbaya anayeangalia kwa macho au anayetenda kwa mwili kuangalia kuna mengi ya kushangaa na kujifunza pia ila sihalalishi napita 2
 
mh sioni tatizo akiwa nazo pengine anataka kuongeza manjonjo ila kula kwa macho haina tatizo kwa mwili ndo sooo ila sialalishi lolote hapa napita 2
 
Mkuu unaonekana proffessional wa haya mambo,unamjua hadi cherokee
hahaha ahsante kwa kufikisha ujumbe boss,kijana kahc binti ana act nini!mwambie huyo bibie atafute cd za cherokee de' as.s atauza sana copy
 
Jamaa kaletewa Laptop yakufanyia marekebisho na mpenzi wake anaetaraji kufunga nae ndoa nakuishi kama mke na mume.
Katika kuiwasha akagundua ndani ya cd drive kuna VCD ku play ni ya picha za ngono.
Katika kumhoji mpenzi akadai hapa town hiyo ni biashara huwa analetewa anazitoa copy kwaajili yakuuza yeye siyo mtizamaji wa picha hizo!
Great thinkers hili limekaaje?

Immorality at its best!!!!!!!!!!; kama hiyo ndio biashara aliyoamua kufanya kati ya biashara zote, you have another think coming!! next time around ataingia kwenye mtandao wa cocaine!
 
Ni kweli hakuna tatizo kwa upande wa shetani maana hayo mapicha yana lengo la kuharibu ufahamu wa mwanadamu, lakini kwa upande wa Mungu lipo tatizo kubwa sana. Kuna msemo unasema Kwa kutazama tunabadilishwa. Kwa hiyo kama ni mtu wa Mungu, elewa kwamba ukitazama hayo mapicha ya ngono unabadilishwa kiroho.
Yesu alikuja ili tuwe na uzima, kisha tuwe nao tele.

halelujah!
 
Jamaa kaletewa Laptop yakufanyia marekebisho na mpenzi wake anaetaraji kufunga nae ndoa nakuishi kama mke na mume.
Katika kuiwasha akagundua ndani ya cd drive kuna VCD ku play ni ya picha za ngono.
Katika kumhoji mpenzi akadai hapa town hiyo ni biashara huwa analetewa anazitoa copy kwaajili yakuuza yeye siyo mtizamaji wa picha hizo!
Great thinkers hili limekaaje?
Mimi ningekuwa nampachikia nyingi nyingi kwenye hand bag yake ili awe anajifunza mautundu!!!!
 
Mi sioni kuna tatizo hapo kwani hyo ni kama muv zingine tu za kawaida km mtu amefikisha miaka 18
 
Back
Top Bottom