ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
biashara haram ni kuuza bangi,madawa ya kulevya,kuuza binadamu ila kwa hilo...kama kawaida yeye na wateja wako tu..life tait mazee!!!Tatizo ni biashara haramu Preta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
biashara haram ni kuuza bangi,madawa ya kulevya,kuuza binadamu ila kwa hilo...kama kawaida yeye na wateja wako tu..life tait mazee!!!Tatizo ni biashara haramu Preta
hahaha ahsante kwa kufikisha ujumbe boss,kijana kahc binti ana act nini!mwambie huyo bibie atafute cd za cherokee de' as.s atauza sana copy
Jamaa kaletewa Laptop yakufanyia marekebisho na mpenzi wake anaetaraji kufunga nae ndoa nakuishi kama mke na mume.
Katika kuiwasha akagundua ndani ya cd drive kuna VCD ku play ni ya picha za ngono.
Katika kumhoji mpenzi akadai hapa town hiyo ni biashara huwa analetewa anazitoa copy kwaajili yakuuza yeye siyo mtizamaji wa picha hizo!
Great thinkers hili limekaaje?
Ni kweli hakuna tatizo kwa upande wa shetani maana hayo mapicha yana lengo la kuharibu ufahamu wa mwanadamu, lakini kwa upande wa Mungu lipo tatizo kubwa sana. Kuna msemo unasema Kwa kutazama tunabadilishwa. Kwa hiyo kama ni mtu wa Mungu, elewa kwamba ukitazama hayo mapicha ya ngono unabadilishwa kiroho.
Yesu alikuja ili tuwe na uzima, kisha tuwe nao tele.
Mimi ningekuwa nampachikia nyingi nyingi kwenye hand bag yake ili awe anajifunza mautundu!!!!Jamaa kaletewa Laptop yakufanyia marekebisho na mpenzi wake anaetaraji kufunga nae ndoa nakuishi kama mke na mume.