CD ya radio ya gari

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
429
Reaction score
206
Wakuu za jioni, nina radio yangu ya gari ambayo kila ninapodisconect battery ya gari either kwa matengenezo au vp, radio ya gari haifanyi kazi mpaka uinsert hiyo cd yake, sasa i think imepata scrach, nimejaribu kuitafuta sana kwa mtandao nimeikosa, kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata copy ya hiyo cd ntashukuru sana

zipo nyingi sana hizo nenda kwa mafundi wanao funga redio unapata mkuu.kwani upo wapi ww labda tukuelekeze kama upo jijini ndio rahisi zaidi
 
zipo nyingi sana hizo nenda kwa mafundi wanao funga redio unapata mkuu.kwani upo wapi ww labda tukuelekeze kama upo jijini ndio rahisi zaidi
Nipo tanga ila kama ni dar nielekeze tu kuna watu wengi wanaweza kunisaidia kuzipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…