Wakuu za jioni, nina radio yangu ya gari ambayo kila ninapodisconect battery ya gari either kwa matengenezo au vp, radio ya gari haifanyi kazi mpaka uinsert hiyo cd yake, sasa i think imepata scrach, nimejaribu kuitafuta sana kwa mtandao nimeikosa, kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata copy ya hiyo cd ntashukuru sana