CD YA "X"

CD YA "X"

Ila PC na Laptop zina sehemu yankuingiza pin ili uvute mlango na utoe CD.
Yaelekea Pc ilikua maili moja toka kwenye socket maana mpka ikawaka na kuplaya jamaa hajafika tuu [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Nakumbuka kuna mshikaji wangu tupo mwanza umeme ulkatka halafu kulikuwa na CD ya X kwenye deki mbaya zaid akasahau kama aliacha CD kwenye deki kwa bahati mbaya jion baba ake kaja katengewa chakula akamwomba dogo alkuwa pembeni amwashie TV kilichotokea hapo nafikir mnaelewa washua jinsi walivyo.......!!!!!!
Kichapo cha mbwa mwitu
 
Back
Top Bottom