CDC wakutana kujadili kesi za kuvimba moyo za waliopata chanjo ya Moderna na Pfizer

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimepanga kikao cha dharura Juni 18, 2021 ili kujadili waliopata chanjo ya ~COVID19 ya Pfizer na Moderna ambao wamevimba moyo

Watu 226 wameripotiwa kuwa na tatizo la myocarditis a pericarditis baada ya kupata chanjo. Wengi wameripotiwa kupona lakini 41 bado wana dalili, 15 wamelazwa na3 wapo ICU

Pfizer na Moderna ni kati ya chanjo zilizoidhinishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kutumika katika kupambana na #COVID19

====

The Centers for Disease Control and Prevention announced Thursday that it will convene an "emergency meeting" of its advisers on June 18th to discuss rare but higher-than-expected reports of heart inflammation following doses of the mRNA-based Pfizer and Moderna COVID-19 vaccines.

So far, the CDC has identified 226 reports that might meet the agency's "working case definition" of myocarditis and pericarditis following the shots, the agency disclosed Thursday. The vast majority have recovered, but 41 had ongoing symptoms, 15 are still hospitalized, and 3 are in the intensive care unit.

The reports represent just a tiny fraction of the nearly 130 million Americans who have been fully vaccinated with either Pfizer or Moderna's doses.

"It's a bit of an apples-to-oranges comparison because, again, these are preliminary reports. Not all these will turn out to be true myocarditis or pericarditis reports," cautioned Dr. Tom Shimabukuro, a CDC vaccine safety official.

Shimabukuro said their findings were mostly "consistent" with reports of rare cases of heart inflammation that had been studied in Israel and reported from the U.S. Department of Defense earlier this year.

The CDC is working on more data and analysis on the reports ahead of the emergency meeting of its own advisers next week, he said, and also planned to analyze the risk of heart inflammation posed by catching COVID-19.

The new details about myocarditis and pericarditis emerged first in presentations to a panel of independent advisers for the Food and Drug Administration, who are meeting Thursday to discuss how the regulator should approach emergency use authorization for using COVID-19 vaccines in younger children.

After earning an emergency use authorization for its COVID-19 vaccine in Americans as young as 12 last month, Pfizer announced this week it had decided on doses to use in a clinical trial in children as young as 6 months old and hoped to submit data by October. Moderna said Thursday that it too had requested the FDA's permission to give its mRNA vaccine to adolescents.

While Pfizer has said they expect to wrap up trials for children as young as 2 by September, FDA officials have previously cautioned that authorizing vaccines for these age groups could take longer — "mid to late fall" at the earliest — citing the additional follow-up data needed for children after they receive the shots.

"We recognize that some adverse reactions, for example myocarditis or pericarditis as discussed earlier today, may be too infrequent to detect in a safety database of typical size for pre-licensure clinical trials," said Dr. Doran Fink, a top official in the FDA's vaccine office.

The CDC previously disclosed that reports of heart inflammation were detected mostly in younger men and teenage boys following their second dose, and that there was a "higher number of observed than expected" cases in 16- to 24-year-olds. Last month, the CDC urged providers to "ask about prior COVID-19 vaccination" in patients with symptoms of heart inflammation.

"Risk-benefit considerations to determine whether to issue an emergency use authorization for use of a COVID-19 vaccine into healthy pediatric individuals will need to account for this information, and risk-benefit consideration will likely be different, not only compared to those for adults, but also they may be different for younger versus older pediatric groups," Dr. Marion Gruber, director of the FDA's vaccine office, said at the meeting.

Source: CBS News
 
Angalia viongozi waliojisahaubaada ya kukaa madarakani kwa muda wa kupitiliza! Wanaamini wanawa'own' wananchi kama wanavyo wa'own' ng'ombe wao mashambani! Hawana haki juu ya nini kidungwe ndani ya miili yao😡! Kama wanavyofanyiwa ng'ombe ndivyo waganda sasa wanavyolazimishwa kuchanjwa 'experimental vaccines'!
 
Attachments

  • VID-20210611-WA0004.mp4
    5.6 MB
Sijui hizi chanjo zinategemea mtu na mtu, niliona Astra Zeneca ikilalamikiwa kuleta madhara ila mimi nilichanja sijapata madhara yoyote, wana familia wangu wengi wamepata Astra zeneca pia bila madhara, baadhi ya watu wengine pia nawafahamu wamepata chanjo hiyo bila madhara, atlist ndani ya watu 50 ninaowafahamu kupata hiyo chanjo, dada mmoja alikua mjamzito alipoteza mimba wiki kadhaa baada ya chanjo, lakini mpaka sasa we are not sure kama sababu ni chanjo au chanzo kingine kwa sababu ana historia ya kuharibu mimba kila anapofika miezi mitano
 
Huku ni dunia ya tatu mkuu, hivi inategemea aina hiyo hiyo ichanjwe Europe kwa ubora huo huo na bongo? Wee ona ma chroquine yalivyotutesa waafrika wakati wao walishaacha muda mrefu huko!
 
Ila wazungu walimuwekea ka moyo aweze kupumua na kuishi hao hao aliokuwa akiwaponda

Kuna watu nyama ya ng'ombe na mbuzi wakila wanavimba miguu hata kutembea shughuli sio kila chanjo itamfaa kila mwanadamu
kitu chochote ukikitumia kupita kiasi kinakuwa sumu,ila sumu hata uipime inakudhuru.

chanjo haijafaulu maandalizi bado.
 
Islael wanaongoza kwa taifa lao kupata chanjo? Unafikir huu ugonjwa ni mgeni kwao hao walioutengeneza?

China wana chanjo yao umesikia watu wa ngap wamefariki baada ya kuipata hiyo chanjo?
 
Wabongo tunawajua, tukitaka mchanjwe tutasema chanjo inafanya uvimbe mboo.

Utawaona wabongo wanavyojaa kutaka kuchanjwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Au tuambie Chanjo inaongeza Nguvu za kiume alafu uone tutakavyo gombea kuchanjwa
 
Islael wanaongoza kwa taifa lao kupata chanjo? Unafikir huu ugonjwa ni mgeni kwao hao walioutengeneza?

China wana chanjo yao umesikia watu wa ngap wamefariki baada ya kuipata hiyo chanjo?
usiwaamini sana wachina,ukiachana na ugonjwa wenyewe ulivyo wa sarakasi.
 
Back
Top Bottom