CDC wakutana kujadili kesi za kuvimba moyo za waliopata chanjo ya Moderna na Pfizer

Msiwe wajinga kiasi hiki..waTanzania wanao kwenda Ulaya ni kama 8% tu hapa nchini,kitu kina madhara mamtu yameng'ang'ania tu

Pumbavu kabisa
8% kubwa sana...
Kwa idadi ya sensa milioni 56 ya watanzania...asilimia nane ni milioni nne...wanaoenda nje ya tz tu na sio ulaya hawafiki milioni nne kwa mwaka...
 
Hii ni habari njema sana kwa ile mimburala isiyotaka tuchanjwe wote.

Ajabu ni kuwa si kwamba wao tu hawataki chanjo, bali kwamba hawataki tuchanjwe wote!

Hiiiiii bagosha!

Hata kama waliopata madhara yasiyothibitishwa ni 226 katika mamilioni waliochanjwa?!

Aaah wapi!
 
Msiwe wajinga kiasi hiki..waTanzania wanao kwenda Ulaya ni kama 8% tu hapa nchini,kitu kina madhara mamtu yameng'ang'ania tu

Pumbavu kabisa

Chanjo si ni hiari? Wewe si usichanjwe?

Muwasha washwa hadi kutukana watu usiowajua waupata wapi?
 
Na ndio pia huwezi kuwa na uhakika kwamba haujapata madhara kabisa au pengine umepata madhara ya muda mrefu ambapo dalili zake hazijaanza kuonekana hivi karibuni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Au tuambie Chanjo inaongeza Nguvu za kiume alafu uone tutakavyo gombea kuchanjwa
Kwani mbona hizo dawa za kuongeza nguvu za kiume zimejaa na hatuoni watu kugombaniana sasa hizo chanjo ndio watu wagombee?
 
Utaanza ona athari yake baada ya miaka 2.it kills slowly
 
What about dizziness, hallucinations, headaches and insomnia? So many people reported these effects after receiving the jab.
 
Kwanza hongera kwa kuchanjwa wewe umeshavuka mto.

Sisi huku ni makelele ya mamburula tu kila kona eti chanjo ni kutumaliza watu weusi.

Kwa ulichokiandika ni habari mbaya mno kwa mamburula hayo kutokea pande za milima ya kwetu.
 
Na ndio pia huwezi kuwa na uhakika kwamba haujapata madhara kabisa au pengine umepata madhara ya muda mrefu ambapo dalili zake hazijaanza kuonekana hivi karibuni.
Sina sababu ya kuamini the negative side only, i have to see the positive side of the vaccine, negative side ni matokeo, lakini ni vizuri kujifunza kuwa positive
 
Sina sababu ya kuamini the negative side only, i have to see the positive side of the vaccine, negative side ni matokeo, lakini ni vizuri kujifunza kuwa positive
Nilitaka tu kukwambia usiseme kuwa hakuna madhara kabisa kwa sababu hujaona madhara kwa muda mfupi kama inavyowatokea wengine, sina maana kuwa lazima upate madhara ukichanjwa.
 
Nilitaka tu kukwambia usiseme kuwa hakuna madhara kabisa kwa sababu hujaona madhara kwa muda mfupi kama inavyowatokea wengine, sina maana kuwa lazima upate madhara ukichanjwa.
Asante
 
Akili kubwa big up!. Wananchi/mwananchi kuwa Mali ya kiongozi/viongozi kama mnyama wa kufunga vile. Hakika umenena.
Nimemkubali Rais Putin wa Russia aliyesema VACCINATION IS NOT MANDATORY TO THE RUSSIAN PEOPLE
 
Uko wap
 
Wabongo tunawajua, tukitaka mchanjwe tutasema chanjo inafanya uvimbe mboo.

Utawaona wabongo wanavyojaa kutaka kuchanjwa.
Au inarudisha bikra. Hapo hata chanjo itakuwa inatolewa mkoa mumoja tu kama kikombe cha babu lazima mtu achanje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…